I have a dream
Member
- Apr 2, 2012
- 73
- 59
its too sad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Try to think out of the box also. Remember Matiku from UDSM???
When you have to analyse issues you have to do it critically, meaning that you have to look at both possibilities. So far your possibilities are one sided bro!!!
acha utoto mtu unaemjua na kila siku mwawasiliana akikupigia simu hutotoka we vipiiiiHuyu Bw. tangu mwanzo nili dought uwezo wake na leo hisia zangu zimethibitika. Kwa mtu yeyote makini na mpiganaji wa kweli hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo la kutoka usiku peke yake kwenda kuonana na mtu asiyemjua. He deserves to surfer his stupidity.
Woga wangu ni kwamba wanaweza kumuua akiwa Muhimbili jamani mateso makubwaukweli lazima mr ulimboka atausema akipona na najua serikali kwa hili itaaibika coz lazima atakuwa amesikia maneno waliokuwa wanayaongea wakiwa wanataka kumuua eeeh yesu mtu huyu apone kwa jina la yesu na tujue ukweli wote ameeen
wana JF, je inawezekana kuanzisha michango hapa kwa ajili ya matibabu ya huyu dr Ulimboka na ikiwezaka nje ya nchi. kama masanja aliweza kufanikisha michango kwa ajili ya Sajuki, kwa nini JF yenye wanachama zaidi ya 80,000 washindwe?
Kila member wa JF achangie kiasi kidogo cha 1000/ tu. Nani anaweza kuratibu hii kitu?????????????//
wana JF, je inawezekana kuanzisha michango hapa kwa ajili ya matibabu ya huyu dr Ulimboka na ikiwezaka nje ya nchi. kama masanja aliweza kufanikisha michango kwa ajili ya Sajuki, kwa nini JF yenye wanachama zaidi ya 80,000 washindwe?
Kila member wa JF achangie kiasi kidogo cha 1000/ tu. Nani anaweza kuratibu hii kitu?????????????//
yaani tindu lissu aliposema hii ni silly season, silly government,silly leadership ndio hii yaani hawa wapuuzi hawajui hata kusoma alama za nyakati sasa hii inamaanisha nini ni kwamba kweli walitaka kumuua kiwia, wanahusika na vifo vyote vya chaguzi kule igunga na arumeru hii aikubaliki ccm sasa hivi inatubaka haitutawali tuiondoe haraka wanashindwa kutatua matatizo ya wananchi wanatumia mbavu shame on themSasa mbona hao jamaa kwa kitendo hicho ndio wanaibua ajenda mpya sasa!!!!!!!!!
mi mwenyewe nishamshitukia uyoHuyu atakua kurugenzi ya mawasiliano ikulu
Mkuu nani atam-arrest JK na shemeji yake Mwema? Maombi yako hayatafanya kazi yoyote.Dah! Pole sana Dr Ulimboka! I pray that whoever is responsible for this, is arrested and punished accordingly!
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
Mhh! hapa wamefika mbali sasa... picha ukurasa wa facebook clouds FM
![]()
Waliomteka ni watu wenye hasira za kufiwa na ndugu zao na kukosa huduma mahospitalini kwa ajili ya huyu mnafik pamoja na wenzake.
i believe and i will pray hatakufa huyu dr nakwambia kwa jina la yesu na tutajua mengi sana kupitia yeyeWoga wangu ni kwamba wanaweza kumuua akiwa Muhimbili jamani mateso makubwa