Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
jumuia za kimataifa zinapowekea vikwazo serikali dhalimu wananchi wanahusika vipi na udhalimu wa serikali yao?ilihal wao ndio wahanga wakubwa wa vikwazo?Tatizo hujanielewa,NCHI HII SIYO MADAKTARI TU,KUNA WATUMISHI KIBAO NA WOTE NI MUHIMU KILA MTU KWA NAFASI YAKE.NA KILA MTUMISHI AKIGOMA ANA ATHARI ZAKE KWA WANANCHI.Tatizo hii kauli ya kusema HAKUNA ALIYE MUHIMU KAMA DAKTARI NI ya kijinga.Pia kumbuka mafisadi kufocha fedha nje ya nchi hakuwezi kuhalalisha madai ya milioni 3na zaidi kwa daktari.Wanataka kugeuza fani ya udaktari kama sehemu ya kupatia utajiri?MIMI PIA NIKO NAO IDARA MOJA,nahitaji maslahi mazuri mazingira bora ya kazi lakini tudai huku tukiangalia na idara zingine na pia TUTUMIE APPROACH YA KUIBANA SERIKALI AMBAYO HAITAKUWA NA MADHALA KWA WANANCHI KAMA ILIVYO SASA.Hapo hatuibani serikali badala yake tunaumiza wananchi.WANANCHI WANAHUSIKA VIPI NA MADAI YETU MPAKA TUWAADHIBU KWA KUWANYIMA HUDUMA NA PIA KUWASABABISHIA VIFO??
Nikuulize mkirua, nchi zinapowekewa vikwazo vya kiuchumi, wananchi huwa wana kosa gani, ili hali wao ndio wahanga wakubwa wa vikwazo, na serikali yetu imeshiriki uamuzi wa kuwekea vikwazo serikali nyng tu!Sawa "dk" nimekusoma...Kwahiyo ninyi ni wabaguzi?? Hao mnaowarudisha kwenye machela wamewakosea nini?? Ndo wanaowanyima millioni tatu?? Tatizo lenu (if at all u are one of them) hamjui adui mnayepaswa kupambana nae na mbinu mnazopaswa kutumia....Haya mengine ni laana tu kwasababu malipo ni hapa hapa duniani.
yule mama ana mtandao wa ajabu sana...inawezekana kabisa!
Lakini kama ni yeye ataumbuka soon!
Aliyetoa amri ya kumuua Ulimboka ni Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupitia idara ya usalama wa taifa nyakati hizi ni nyakati za uelewa hatutadanganyika kamwe
utawala unaotumia damu za wananchi kuendelea kutawala sikuzote zimeanguka vibaya na kwa aibu mno
namuonea huruma kikwete kuingia kwenye udikteta wakati anawatoto ambao hawajafika hata miaka kumi atakimbia nao kwenda nchi gani maskini ambako hawatachorwa kuwa watoto wa dikteta