Huyo ni Aljazeera wa JF news zake ni zile against israel na wanapenda haswa wakiona myahudi kaipinga israel wanakuwa happy kama yule Ehud olmet walimuweka front page ya Al arabiya karibu mwakaUshasema kiongozi wa upinzani Sasa inawezekanaje akakubali mpango wa mwamba?
Waliyataka wameyapata!Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi".
Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel.
Mpango huo "unapingana kabisa na maoni ya jeshi na safu za usalama", anaongeza.
Kama tulivyoripoti awali, mkuu wa majeshi Lt Jenerali Eyal Zamir alikuwa ameonya dhidi ya hatua hiyo.
Anamshutumu Netanyahu kwa kukubali shinikizo kutoka kwa mawaziri wa sera za mrengo wa kulia wa baraza la usalama Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich.
Kama ukumbusho, muungano wa waziri mkuu wa Israel unategemea kuungwa mkono na mawaziri wasiopenda siasa kali ambao wametishia kujiondoa katika serikali ikiwa kutakuwa na mpango wowote na Hamas.
SOURCE👇🏽
www.bbc.com
Wanaukumbi.

Kaka Ritz heshima kwako mkuu mtu wangu wa nguvu. Nje ya mada je tofauti na kutapika unaweza kutoa nyongo Kwa KUNYA?Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi".
Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel.
Mpango huo "unapingana kabisa na maoni ya jeshi na safu za usalama", anaongeza.
Kama tulivyoripoti awali, mkuu wa majeshi Lt Jenerali Eyal Zamir alikuwa ameonya dhidi ya hatua hiyo.
Anamshutumu Netanyahu kwa kukubali shinikizo kutoka kwa mawaziri wa sera za mrengo wa kulia wa baraza la usalama Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich.
Kama ukumbusho, muungano wa waziri mkuu wa Israel unategemea kuungwa mkono na mawaziri wasiopenda siasa kali ambao wametishia kujiondoa katika serikali ikiwa kutakuwa na mpango wowote na Hamas.
SOURCE👇🏽
www.bbc.com
Jibu swali langu wewee nililokuuliza hapo juu
View: https://x.com/kahlissee/status/1953791600917713249?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
BBC ILIWASHA ISRAEL
"Idhaa ya Ulimwengu ya BBC imekusanya taarifa kuhusu visa zaidi ya 160 ambapo watoto wamepigwa risasi huko Gaza na kugundua kuwa katika visa 95, MTOTO alipigwa RISASI YA KICHWA au kifuani. Katika visa hivyo vingi, mwathiriwa alikuwa CHINI ya miaka 12."
Kuhusu Wakati
Jibu swali wewee nililokuulizaSina utaratibu wa kumfanya mjadala na mashoga niwe radhi.
Mkuu unalipwa lakini au unafanya kazi ya kujitolea tu kwa mwarabu?Sina utaratibu wa kumfanya mjadala na mashoga niwe radhi.
Mkomalie akijibu mkuuJibu swali wewee nililokuuliza
Hujajibu bado? Unalipwa na hao mabahasha wako waarabu? Majibu tafadhaliNimeishamjibu labda nikujibu na wewe punga mwenzake vipi unatafuta basha kwa nguvu JF.
Oyaa wee zombie boy nakuuliza tena kwa mara ya mwisho ole wako sasa usinijibu je ukiondoa kutapika unaweza kutoa nyongo Kwa KUNYA? Hii imekaaje kwenye mafundisho ya kiislam hususan kwenye msaaf, sunnah na hadith?Malipo si nayapata kwa bi mkuwa wako night inatosha sana😂
We hujakosea kujita kenge kamulize Netanyahu alitapika na kuharisha alipo jificha wakati ile zinashuka Missiles za Iran.Oyaa wee zombie boy nakuuliza tena kwa mara ya mwisho ole wako sasa usinijibu je ukiondoa kutapika unaweza kutoa nyongo Kwa KUNYA? Hii imekaaje kwenye mafundisho ya kiislam hususan kwenye msaaf, sunnah na hadith?
Jibu hilo swali haraka sana. Sitaki upuuz.
incharge Covax Adiosamigo
Wee kenge unaona laana ya vijana wawili wa kitanzania inavyowaandama mipalestina inavyokufa na njaa. Na mbadoo.We hujakosea kujita kenge kamulize Netanyahu alitapika na kuharisha alipo jificha wakati ile zinashuka Missiles za Iran.