Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

Wee kenge unaona laana ya vijana wawili wa kitanzania inavyowaandama mipalestina inavyokufa na njaa. Na mbadoo.
Kwa hio kila anaye dhulumiwa kalaniwa si ndio kutokana na akili yako.

Sawa kenge sikujua kama Netanyahu ni malaika wa kikristo.

Hao Watanzania wewe unauhakika gani hawakuwa askari walikuwa wanafanya nini kwenye camp za jeshi.
 
Hahahha nipo pole nimejibanza na subiri jibu lake😂
 
Hujajibu bado? Unalipwa na hao mabahasha wako waarabu? Majibu tafadhali
Malipo ni yale yale si namtafuna bi mkubwa wako au unamuonea wivu?

Mtoto wa kiume unaitwa kida kuna nini hapo kama siyo upinde🌈
 
Tukiweka mambo ya ushabiki na propaganda za kidini pembeni.

Israel chini ya uongozi wa Netanyahu imejitahidi sana na binafsi sioni sehemu ilipo shindwa,hivyo kwa upande wangu israel ndio mshindi wa vita pale middle east,kwa sababu hizi.

1.amepambana na makundi mengi na bado anayamudu(Hezbollah,Houth,Hamas na Iran yenyewe)
leo hii kundi kama hezbollah halisikiki kabisa jukwaani ni jambo la kushangaza,pia watu walisema israel haiwezi kupiga(kuanzisha ugomvi) na Iran ila dunia imeshuhudia Israel ikiipiga(ikianzisha vita) na Iran mpaka raisi wao Ayatollah akaenda kujificha shimoni akiogopa kuuwawa.

2.Israel ni nchi ndogo kwa ukubwa wa eneo kuliko hata mji wa morogoro.
Je kwa kufikiria na bila mihemko,imagine nchi kama hii ikiwakalisha Iran,lebanon(Hezbollah),pallestina(Hamas),na kundi la houth.,
Kuwamudu wote hawa kwa wakati mmoja na kuwaua viongozi wao wakubwa ni ishara ya ushindi kwa Israel

3.Waliodai wameshinda ,wao ndio wanaolalamika kuwa Israel anavunja sheria na haki za binadamu kule gaza.
Nimekuwa nikiona watu humu jukwaani wanasema Hamas ni washindi,asa kama ni washindi inakuaje watu waanze kulalamikia israel tena kwa kinachoendelea gaza??,na kama kweli Hamas wana nguvu za kuishinda Israel,inakuaje waruhusu hao wa israel kuingia ardhini kwao na kunyanyasa watu wao??ni jambo la kufikilisha.

4.Kuna watu wanadai Israel inapewa msaada na marekani kwenye ulingo wa vita;
ni kweli israel inapewa misaada na marekani kwenye ulingo wa vita,lakini pia hata makundi kama Hamas,Hezbollah,Houth yanapewa msaada na Iran,,ambapo pia Iran inapewa msaada na nchi nyingine kama Russia,Korea,.hivyo mpaka hapa tunagundua kila mtu anapewa misaada kilichobaki ni tacticts za ulingoni basi.

hivyo kwa mantiki Israel chini ya uongozi wa netanyahu ni mshindi pale middle east na ataendelea kuwa mshindi mpka 100 years to come after our generation,wengine wataendelea kujipa moyo na maneno ya kujifariji.
 
Ushindi wa kuuwa watoto. Kama wangeshinda tungetangaziwa na Dunia sio nawewe. Shabiki wa kilokole umetoa mshindi wako kwa mshindwa..

ISRAEL na Netanyahu wamevamia GAZA kwenda kukomboa Mateka raia wao wa Israel si ndio

JE wamefanikiwa ????

Mpaka sasa
Wameshindwa ata

na wametumia njia zote halamu. Halam ni kinyume na Sheria.

Ndiomana wengine tunawaita Taifa halam.

Huwalamu wao ni kupingana na sheria zote za kimataifa katika kutendea wengine kwenye Ardhi wapo kinyume ¿¿

Sababu kipande cha Ardhi walichopewa wao wamejimegea chengine cha wengine kwamtutu kinyume na Sheria.

kuwafanya wengine waishi kwa usimamizi wao kinyume cha Sheria

kuzuiya misaada kuwafikia watu kuwanyima watu Chakula maji
umeme vyote ni kinyume cha Sheria !!

Nyie endeleeni tu kutoa Sadaka kwa mungu wa Israel lkn mwaka huu kakutana na wahuni wenye nia nguvu sababu ya kumkumbusha njia uliokujia hapa ni hiii bado ipo wazi kuitumia kuondoka !!!

njia ya kutoka ipo na wanatoka wengi

vita Mwaka wa3 mateka bado wapo palepale Gaza pua na mdomo ¿¿

Nyie mlitudanganya sana mapicha mengiiiii !!!

mmepewa kazi ya kikomandoo badala ya kukombolewa mateka kutwa wanauwa watoto wanawake Sasa mlienda Gaza kuuwa vitoto na wamama¿¿

kama lengo kuuwa vitoto na wamama.¿
Si mngebaki uko uko Israel mngetumia ndege tu kuuwa wamama na watoto kubomoa hospital misikiti makanisa ¿¿

Akili izi mbovu bado utalisikia kondoo la kilokole linapaza sauti Waisrael ndio wanaume wenye akili kuliko mm wala Baba yangu na wanaume wengine wote.

yani kwamba nmm nimo!! Mtuombe ladhi walokole

yani unajivua nguo kijinga kabisa
Waisrael ni mapopoma Tu.

Technology ya Vita juzi wamevuliwa nguo mbele ya Dunia.

IRAN kamchakaza Israel uku Iran ikiwa nyumbani kwake km 2000 kuonesha mimi ndio mkuu wa kitechnology

miji ya Israel imechapika vibaya tambo za kuwa na ulinzi bora wa Anga nao umezikwa rasmi

Kelele zao zote kwishaaa kabisa uko Israel matumaini ya siku zijazo yametoeka.

Palestine malengo yao yatatimia tu kuuwa watoto na wamama sio mwisho wa Vita.

Netanyahu atajibeba tu mana vijana wake wameshachoka kuuwa vitoto mbele ya macho ya Dunia wana onekana makatili sio mashujaa. Kama miaka ya nyuma.

na wanakamatwa nchi zengine kama waharifu wauwaji wanaopaswa kukamatwa popote walipo..

JE kufikia apo kunamatumaini ya siku za usoni. ¿¿

Ndiomana Netanyahu anakazania kufikia lengo lao sasa kama watashindwa sasa

basi lazima sio ombi tena kuwepo mataifa mawili

anajua kupigana Vita uko mbele itakuwa ngumu mana vijana watagoma kabisa kusumbuka na jesh lao
zaid kwasasa wanataka vita isimame wao wawe huru kukimbia nchi zengine kuanza maisha mapya, Israel bai bai bai.

huu ndio ukweli kondoo kunyweni na maji.kama mgumu kumeza..,
 
Wewe unachekesha na hasira zako za kiislamu.
Asa nisikilize.

1.Israel amekuwa akiingia kwenye anga la Iran kufanya mashambulizi tena kutumia marubani wa kike mabinti wadogo, na pia israel alishambulia mitambo ya nyuklia ya irani mchana kweupe huku dunia ikitazama,,ambapo irani alijibu kwa kushambulia majengo ya wananchi na raia mtaani.
Halafu unasema kashinda,kumbe kushinda kwake ni kushambulia majengo ya raia??,
Na kwa hapo nani kaonesha kuwa teknolojia yake ipo juu kati ya israel ambaye kila siku anaingia kwenye anga la iran kushambulia na kuondoka au iran ambaye anashambulia majengo.??
HEBU TUMIA AKILI BASI HATA KAMA HUJASOMA NA USITUMIE ITIKADI ZA DINI YAKO.

2.Unaposema Israel anauwa watoto na wanawake,una uhakika au unajitia moyo tuu.?
Ina maana hujui viongozi wakubwa wa hamas,hezbollah,houth na wa Iran waliouliwa au huna akili?
HEBU TUMIA AKILI ZAKO VIZURI BASI SIO KILA KITU MPKA UAMBIWE WAKATI UNA MACHO YA KUONA.

3.Umesema raia wa Israel wameanza kwenda nchi nyingine.
ulichosema ni kweli,na hii ni kwa sababu ya shambulizi la irani kulenga majengo na raia mtaani asa hapo huelewi nini??.
Halafu nikuulize,,dunia nzima inajua western ni nchi za wakristo(UK,USA,CANADA,FRANCE,GERMANY N.K). Lakini leo hii idadi ya wakimbizi kutoka hizo nchi zenu za KIISLAMU imekuwa nyingi sana mpka maanza kuomba kupewa uraia ,nyie ndo mnaongoza kukimbia nchi zenu mnaenda kwenye nchi za wayahudi/wakristo ambao mnawaita makafiri,,kwa nini msibaki kwenu au muende nchi za waislamu wenzenu??.

4.unasema bado kuna mateka wa israel bado wapo kwenye mikono ya Hamas.
Ni kweli uko sahihi,lakini nikuulize swali.
Hivi unajua ratio ya mateka ambao hamas wameshikilia kwa ratio ya mateka ambao israel imeshikilia ni
1:1000,,yani maana yake ni kwamba kama hamas akiwa na mateka mmoja wa israel,basi israel ana mateka 1000 wa pallestina,.
Asa hapo nani mshindi?
Hebu tumia akili basi.

5.Umesema israel anazuia mgao wa chakula kwa pallestina,una uhakika gani??umeshawahi kufika ukajionea??.
israel ndio moral military kutokea duniani kwa sababu moja tuu,,inawapa maadui zake chance ya kupata chakula,sema hizo media zenu uchwara ndio zinasambaza hio propaganda.

6.unasema Israel inaenda kufa mda sio mrefu na kupoteza matumaini ya kivita.
nakujibu hivi;
kama ambavyo nyie waislamu huwa mnasema nyie mnapambania dini yenu mpaka kufa bila kujali mnapoteza maisha. basi pia israel ukiachana na kuwa ni nchi,lakini pia ni SPIRIT(ROHO) ,ndio maana usishangae kuona wakristo wengi duniani kui support israel maana ndivyo roho zao zilivyo.yaani ndicho walichoshikilia mioyoni mwao.
Hivyo nakwambia Israel kama roho ilikuwepo hata kabla ya uislamu wenyewe,ni vigumu kuishinda,motisha ya vita inaweza kupungua lakini with time mambo yanarudi yalipokuwa.,ndio maana hata vita ya israel na iran ilipoa mwaka jana ila mwaka huu israel akalianzisha,hivyo tulia uendelee kutazama,ila nakuhakikishia israel itaendelea kuwepo mpka baada ya kizazi chenu kuisha.

Hebu nijibu point zangu moja baada ya nyingine kama msomi,ila kama una chuki zako za kiislamu kavae mabomu ukajilipue.
 
Hebu nijibu point zangu mojaa baada ya nyingine kama msomi,ila kama una chuki zako za kiislamu kavae mabomu ukajilipue.
 
Wanaukumbi.

Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi".
Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel.
Mpango huo "unapingana kabisa na maoni ya jeshi na safu za usalama", anaongeza.
Kama tulivyoripoti awali, mkuu wa majeshi Lt Jenerali Eyal Zamir alikuwa ameonya dhidi ya hatua hiyo.
Anamshutumu Netanyahu kwa kukubali shinikizo kutoka kwa mawaziri wa sera za mrengo wa kulia wa baraza la usalama Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich.
Kama ukumbusho, muungano wa waziri mkuu wa Israel unategemea kuungwa mkono na mawaziri wasiopenda siasa kali ambao wametishia kujiondoa katika serikali ikiwa kutakuwa na mpango wowote na Hamas.

SOURCE👇🏽
www.bbc.com
Gaza bye bye.
 
1. Teknolojia ya Kivita
"Israel imeingia mara kadhaa anga la Iran na kuharibu mitambo ya nyuklia kama Natanz (2020) na Isfahan (2023) kwa kutumia drones na vikosi maalum, ikarudi salama bila kupoteza ndege. INSS inaipa Israel nafasi ya 3 duniani kwa uwezo wa intelijensia. Iran ikijibu inalenga majengo ya raia – hapo nani ana teknolojia ya juu?"

2. Vifo vya Raia vs. Viongozi wa Kijeshi
"Vifo vya raia hutokea vita mijini, lakini UN OCHA inathibitisha Hamas hutumia maeneo ya raia kama ngome. Ndani ya miezi 6, Israel imeua viongozi zaidi ya 15 wa Hamas na Hezbollah (IDF Press Release). Huo ndio ushahidi wa kipimo cha ufanisi wa kijeshi."

3. Wakimbizi na Hofu ya Mashambulizi
"Baada ya mashambulizi ya Iran (Aprili 2024) baadhi ya Waisraeli walihama – kawaida vita vikianzia mijini. Lakini UNHCR inasema kati ya wakimbizi milioni 36 duniani, zaidi ya 70% wanatoka nchi za Kiislamu. Hiyo inaonyesha nani anaacha nchi yake na kwenda kuishi kwa wale anaowaita 'makafiri'."

4. Idadi ya Mateka
"Hamas inawashikilia chini ya Waisraeli 100. Israel inawashikilia zaidi ya Wapalestina 6,000 (wengi wakiwa wapiganaji) kwa mujibu wa B’Tselem. Ratio ni 1:1000 – hiyo inaonyesha nani anadhibiti nani."

5. Mgao wa Chakula
"World Food Programme inathibitisha misaada ya chakula, maji, na dawa inaingia Gaza kupitia Kerem Shalom na Rafah, ingawa kuna ukaguzi mkali wa usalama. Sasa unasema hakuna mgao? Huo ni uongo wa propaganda, si ukweli wa takwimu."

6. Uwepo wa Israel
"Israel imepambana na kushinda vita vikubwa (1948, 1967, 1973, 2006) licha ya kuzungukwa na maadui. Global Firepower 2024 inaipa Israel nafasi ya 17 duniani, ikiwa na nguvu ya teknolojia mara 3 zaidi ya Iran kwa kila mwanajeshi. Kama nyinyi mna 'jihad', wao wana 'spirit' yao – na hiyo ndio siri ya uimara wao kwa vizazi."
 
Ushindi wa kuuwa watoto. Kama wangeshinda tungetangaziwa na Dunia sio nawewe. Shabiki wa kilokole umetoa mshindi wako kwa mshindwa..

ISRAEL na Netanyahu wamevamia GAZA kwenda kukomboa Mateka raia wao wa Israel si ndio

JE wamefanikiwa ????

Mpaka sasa
Wameshindwa ata

na wametumia njia zote halamu. Halam ni kinyume na Sheria.

Ndiomana wengine tunawaita Taifa halam.

Huwalamu wao ni kupingana na sheria zote za kimataifa katika kutendea wengine kwenye Ardhi wapo kinyume ¿¿

Sababu kipande cha Ardhi walichopewa wao wamejimegea chengine cha wengine kwamtutu kinyume na Sheria.

kuwafanya wengine waishi kwa usimamizi wao kinyume cha Sheria

kuzuiya misaada kuwafikia watu kuwanyima watu Chakula maji
umeme vyote ni kinyume cha Sheria !!

Nyie endeleeni tu kutoa Sadaka kwa mungu wa Israel lkn mwaka huu kakutana na wahuni wenye nia nguvu sababu ya kumkumbusha njia uliokujia hapa ni hiii bado ipo wazi kuitumia kuondoka !!!

njia ya kutoka ipo na wanatoka wengi

vita Mwaka wa3 mateka bado wapo palepale Gaza pua na mdomo ¿¿

Nyie mlitudanganya sana mapicha mengiiiii !!!

mmepewa kazi ya kikomandoo badala ya kukombolewa mateka kutwa wanauwa watoto wanawake Sasa mlienda Gaza kuuwa vitoto na wamama¿¿

kama lengo kuuwa vitoto na wamama.¿
Si mngebaki uko uko Israel mngetumia ndege tu kuuwa wamama na watoto kubomoa hospital misikiti makanisa ¿¿

Akili izi mbovu bado utalisikia kondoo la kilokole linapaza sauti Waisrael ndio wanaume wenye akili kuliko mm wala Baba yangu na wanaume wengine wote.

yani kwamba nmm nimo!! Mtuombe ladhi walokole

yani unajivua nguo kijinga kabisa
Waisrael ni mapopoma Tu.

Technology ya Vita juzi wamevuliwa nguo mbele ya Dunia.

IRAN kamchakaza Israel uku Iran ikiwa nyumbani kwake km 2000 kuonesha mimi ndio mkuu wa kitechnology

miji ya Israel imechapika vibaya tambo za kuwa na ulinzi bora wa Anga nao umezikwa rasmi

Kelele zao zote kwishaaa kabisa uko Israel matumaini ya siku zijazo yametoeka.

Palestine malengo yao yatatimia tu kuuwa watoto na wamama sio mwisho wa Vita.

Netanyahu atajibeba tu mana vijana wake wameshachoka kuuwa vitoto mbele ya macho ya Dunia wana onekana makatili sio mashujaa. Kama miaka ya nyuma.

na wanakamatwa nchi zengine kama waharifu wauwaji wanaopaswa kukamatwa popote walipo..

JE kufikia apo kunamatumaini ya siku za usoni. ¿¿

Ndiomana Netanyahu anakazania kufikia lengo lao sasa kama watashindwa sasa

basi lazima sio ombi tena kuwepo mataifa mawili

anajua kupigana Vita uko mbele itakuwa ngumu mana vijana watagoma kabisa kusumbuka na jesh lao
zaid kwasasa wanataka vita isimame wao wawe huru kukimbia nchi zengine kuanza maisha mapya, Israel bai bai bai.

huu ndio ukweli kondoo kunyweni na maji.kama mgumu kumeza..,
1. Teknolojia ya Kivita
"Israel imeingia mara kadhaa anga la Iran na kuharibu mitambo ya nyuklia kama Natanz (2020) na Isfahan (2023) kwa kutumia drones na vikosi maalum, ikarudi salama bila kupoteza ndege. INSS inaipa Israel nafasi ya 3 duniani kwa uwezo wa intelijensia. Iran ikijibu inalenga majengo ya raia – hapo nani ana teknolojia ya juu?"

2. Vifo vya Raia vs. Viongozi wa Kijeshi
"Vifo vya raia hutokea vita mijini, lakini UN OCHA inathibitisha Hamas hutumia maeneo ya raia kama ngome. Ndani ya miezi 6, Israel imeua viongozi zaidi ya 15 wa Hamas na Hezbollah (IDF Press Release). Huo ndio ushahidi wa kipimo cha ufanisi wa kijeshi."

3. Wakimbizi na Hofu ya Mashambulizi
"Baada ya mashambulizi ya Iran (Aprili 2024) baadhi ya Waisraeli walihama – kawaida vita vikianzia mijini. Lakini UNHCR inasema kati ya wakimbizi milioni 36 duniani, zaidi ya 70% wanatoka nchi za Kiislamu. Hiyo inaonyesha nani anaacha nchi yake na kwenda kuishi kwa wale anaowaita 'makafiri'."

4. Idadi ya Mateka
"Hamas inawashikilia chini ya Waisraeli 100. Israel inawashikilia zaidi ya Wapalestina 6,000 (wengi wakiwa wapiganaji) kwa mujibu wa B’Tselem. Ratio ni 1:1000 – hiyo inaonyesha nani anadhibiti nani."

5. Mgao wa Chakula
"World Food Programme inathibitisha misaada ya chakula, maji, na dawa inaingia Gaza kupitia Kerem Shalom na Rafah, ingawa kuna ukaguzi mkali wa usalama. Sasa unasema hakuna mgao? Huo ni uongo wa propaganda, si ukweli wa takwimu."

6. Uwepo wa Israel
"Israel imepambana na kushinda vita vikubwa (1948, 1967, 1973, 2006) licha ya kuzungukwa na maadui. Global Firepower 2024 inaipa Israel nafasi ya 17 duniani, ikiwa na nguvu ya teknolojia mara 3 zaidi ya Iran kwa kila mwanajeshi. Kama nyinyi mna 'jihad', wao wana 'spirit' yao – na hiyo ndio siri ya uimara wao kwa vizazi."
 
Ushindi wa kuuwa watoto. Kama wangeshinda tungetangaziwa na Dunia sio nawewe. Shabiki wa kilokole umetoa mshindi wako kwa mshindwa..

ISRAEL na Netanyahu wamevamia GAZA kwenda kukomboa Mateka raia wao wa Israel si ndio

JE wamefanikiwa ????

Mpaka sasa
Wameshindwa ata

na wametumia njia zote halamu. Halam ni kinyume na Sheria.

Ndiomana wengine tunawaita Taifa halam.

Huwalamu wao ni kupingana na sheria zote za kimataifa katika kutendea wengine kwenye Ardhi wapo kinyume ¿¿

Sababu kipande cha Ardhi walichopewa wao wamejimegea chengine cha wengine kwamtutu kinyume na Sheria.

kuwafanya wengine waishi kwa usimamizi wao kinyume cha Sheria

kuzuiya misaada kuwafikia watu kuwanyima watu Chakula maji
umeme vyote ni kinyume cha Sheria !!

Nyie endeleeni tu kutoa Sadaka kwa mungu wa Israel lkn mwaka huu kakutana na wahuni wenye nia nguvu sababu ya kumkumbusha njia uliokujia hapa ni hiii bado ipo wazi kuitumia kuondoka !!!

njia ya kutoka ipo na wanatoka wengi

vita Mwaka wa3 mateka bado wapo palepale Gaza pua na mdomo ¿¿

Nyie mlitudanganya sana mapicha mengiiiii !!!

mmepewa kazi ya kikomandoo badala ya kukombolewa mateka kutwa wanauwa watoto wanawake Sasa mlienda Gaza kuuwa vitoto na wamama¿¿

kama lengo kuuwa vitoto na wamama.¿
Si mngebaki uko uko Israel mngetumia ndege tu kuuwa wamama na watoto kubomoa hospital misikiti makanisa ¿¿

Akili izi mbovu bado utalisikia kondoo la kilokole linapaza sauti Waisrael ndio wanaume wenye akili kuliko mm wala Baba yangu na wanaume wengine wote.

yani kwamba nmm nimo!! Mtuombe ladhi walokole

yani unajivua nguo kijinga kabisa
Waisrael ni mapopoma Tu.

Technology ya Vita juzi wamevuliwa nguo mbele ya Dunia.

IRAN kamchakaza Israel uku Iran ikiwa nyumbani kwake km 2000 kuonesha mimi ndio mkuu wa kitechnology

miji ya Israel imechapika vibaya tambo za kuwa na ulinzi bora wa Anga nao umezikwa rasmi

Kelele zao zote kwishaaa kabisa uko Israel matumaini ya siku zijazo yametoeka.

Palestine malengo yao yatatimia tu kuuwa watoto na wamama sio mwisho wa Vita.

Netanyahu atajibeba tu mana vijana wake wameshachoka kuuwa vitoto mbele ya macho ya Dunia wana onekana makatili sio mashujaa. Kama miaka ya nyuma.

na wanakamatwa nchi zengine kama waharifu wauwaji wanaopaswa kukamatwa popote walipo..

JE kufikia apo kunamatumaini ya siku za usoni. ¿¿

Ndiomana Netanyahu anakazania kufikia lengo lao sasa kama watashindwa sasa

basi lazima sio ombi tena kuwepo mataifa mawili

anajua kupigana Vita uko mbele itakuwa ngumu mana vijana watagoma kabisa kusumbuka na jesh lao
zaid kwasasa wanataka vita isimame wao wawe huru kukimbia nchi zengine kuanza maisha mapya, Israel bai bai bai.

huu ndio ukweli kondoo kunyweni na maji.kama mgumu kumeza..,
1. Teknolojia ya Kivita
"Israel imeingia mara kadhaa anga la Iran na kuharibu mitambo ya nyuklia kama Natanz (2020) na Isfahan (2023) kwa kutumia drones na vikosi maalum, ikarudi salama bila kupoteza ndege. INSS inaipa Israel nafasi ya 3 duniani kwa uwezo wa intelijensia. Iran ikijibu inalenga majengo ya raia – hapo nani ana teknolojia ya juu?"

2. Vifo vya Raia vs. Viongozi wa Kijeshi
"Vifo vya raia hutokea vita mijini, lakini UN OCHA inathibitisha Hamas hutumia maeneo ya raia kama ngome. Ndani ya miezi 6, Israel imeua viongozi zaidi ya 15 wa Hamas na Hezbollah (IDF Press Release). Huo ndio ushahidi wa kipimo cha ufanisi wa kijeshi."

3. Wakimbizi na Hofu ya Mashambulizi
"Baada ya mashambulizi ya Iran (Aprili 2024) baadhi ya Waisraeli walihama – kawaida vita vikianzia mijini. Lakini UNHCR inasema kati ya wakimbizi milioni 36 duniani, zaidi ya 70% wanatoka nchi za Kiislamu. Hiyo inaonyesha nani anaacha nchi yake na kwenda kuishi kwa wale anaowaita 'makafiri'."

4. Idadi ya Mateka
"Hamas inawashikilia chini ya Waisraeli 100. Israel inawashikilia zaidi ya Wapalestina 6,000 (wengi wakiwa wapiganaji) kwa mujibu wa B’Tselem. Ratio ni 1:1000 – hiyo inaonyesha nani anadhibiti nani."

5. Mgao wa Chakula
"World Food Programme inathibitisha misaada ya chakula, maji, na dawa inaingia Gaza kupitia Kerem Shalom na Rafah, ingawa kuna ukaguzi mkali wa usalama. Sasa unasema hakuna mgao? Huo ni uongo wa propaganda, si ukweli wa takwimu."

-

6. Uwepo wa Israel
"Israel imepambana na kushinda vita vikubwa (1948, 1967, 1973, 2006) licha ya kuzungukwa na maadui. Global Firepower 2024 inaipa Israel nafasi ya 17 duniani, ikiwa na nguvu ya teknolojia mara 3 zaidi ya Iran kwa kila mwanajeshi. Kama nyinyi mna 'jihad', wao wana 'spirit' yao – na hiyo ndio siri ya uimara wao kwa vizazi."
 
Malipo ni yale yale si namtafuna bi mkubwa wako au unamuonea wivu?

Mtoto wa kiume unaitwa kida kuna nini hapo kama siyo upinde🌈
Huyo mtoto siku nyingi nimemshtukia anapepuresha bendera ya Rainbow 😆

Eti kinajita kida shenzi type.
 
Siku moja kaishanifuta DM anaomba nimnunulie bikini nistuka sana nikamwambia mimi siyo mambo yangu hayo.
 
If Gaza were a European city and its people were European, the world would have hit the panic button long ago.

There’d be emergency UN sessions, military intervention, wall-to-wall media coverage, and global outrage.

But because it’s Palestinians, the world watches in silence as the bombs fall and children starve.
 
Barabara kutoka kaskazini hadi kusini mwa Gaza ni kaburi la zege na ndoto - maili baada ya maili ya nyumba zilizobomolewa, shule, na misikiti.

Pande zote mbili, safu zisizo na kikomo za mahema ya kubahatisha huoka chini ya jua, zikiweka familia ambazo zimepoteza kila kitu isipokuwa nia yao ya kuishi.

Huu ni ufutaji wa makusudi wa watu wote, unaoonekana kutoka kwa kila inchi ya barabara.

View: https://x.com/zohranmamdani/status/1954091617163391235?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom