Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

Nchini Italia, wabunge wa upinzani kutoka Vuguvugu la Nyota Tano (M5S) walihudhuria kikao cha bunge wakiwa wamevalia rangi za bendera ya Palestina; nyekundu, nyeusi, kijani na nyeupe, ikitangaza kuwa ni ishara ya mapambano ya kimataifa kwa ajili ya ubinadamu.

Mbunge Riccardo Ricciardi alisema walijizuia kuleta bendera yenyewe, wakijua itaondolewa, na akauliza, "Wakati karibu dunia nzima inatambua Taifa la Palestina, kwa nini Italia haitambui?"


View: https://x.com/trtworld/status/1953535786231771486?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
18,500 children have been killed by the Israeli military in Gaza.

Despite these war crimes, the US has provided more than $22 BILLION for the war.

Our taxpayer dollars are being used to starve children, bomb schools & gun down hungry people as they wait for aid.
 

Former IDF general: Gaza conquest key to defeating Hamas​

Full takeover of Gaza necessary to defeat Hamas, would take only a few months, former IDF General Yiftah Ron-Tal says.​

Israel National News
Israel National News
Published: Aug 7, 2025, 11:59 AM (GMT+3)


  • 1 minutes
Yiftah Ron-Tal
Yiftah Ron-TalFlash90

Defeating Hamas requires the takeover of the Gaza Strip - a task that will take only take a few months, not years, former IDF General Yiftah Ron-Tal believes.
In an interview with Akiva Novick and Rina Matzliach, Ron-Tal explained that encircling the Gaza Strip is a necessary step toward victory, adding, "A raid is a tactical move, but that's not how you win a war."
Ron-Tal dismissed the "piles of interpretations in the newspapers," as he referred to them, and addressed the question of why the move had not yet been carried out: "Under the panic and shock of October 7th, there was a poor plan that didn’t allow us to achieve the goal - defeating Hamas."
He also emphasized that no rational deal can be made with the Hamas terror group.
"We're negotiating with ourselves. Hamas isn't willing to make a deal. It's good for theoretics," he said, detailing Hamas's hidden demands.
Mla kiporo kwema?
We unadhani kuwatetea na kusambaza hizi propaganda za Zionist kutakufanya wewe kuwa mkristo mtiifu au?
Unajua wakrito wangapi wameuawa Gaza?
Makanisa mangapi YA kihistoria yamepigwa mabomu na hao wayahudi uchwara?

Kanisa moja lina miaka 800 pia limesambazwa na bomu.
Ukristo unapigwa vita kila kona Israel.
Watu pekee wanaoishi na makafiri kwa amani huko Palestine ni Waislamu tu lkn tatizo vichwa vyenu vimeshindiliwa tope .
Myahudi hata aje kubaka mwanao bado utabusu miguu yake sababu PAULO kawaambia mheshimu na kuwatukuza wayahudi.

Ujinga ni mzigo hatari kuliko bomu
 
Barabara kutoka kaskazini hadi kusini mwa Gaza ni kaburi la zege na ndoto - maili baada ya maili ya nyumba zilizobomolewa, shule, na misikiti.

Pande zote mbili, safu zisizo na kikomo za mahema ya kubahatisha huoka chini ya jua, zikiweka familia ambazo zimepoteza kila kitu isipokuwa nia yao ya kuishi.

Huu ni ufutaji wa makusudi wa watu wote, unaoonekana kutoka kwa kila inchi ya barabara.

View: https://x.com/zohranmamdani/status/1954091617163391235?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ndugu Israel inaenda kupotea mda sio mrefu wako wapi walio kuwa wanajita mpa Mungu kama kina Firauni na kina Namruti iwe haka ka kuku Netanyahu kiomba omba cha silaha kutoka USA.
 
Ushindi wa kuuwa watoto. Kama wangeshinda tungetangaziwa na Dunia sio nawewe. Shabiki wa kilokole umetoa mshindi wako kwa mshindwa..

ISRAEL na Netanyahu wamevamia GAZA kwenda kukomboa Mateka raia wao wa Israel si ndio

JE wamefanikiwa ????

Mpaka sasa
Wameshindwa ata

na wametumia njia zote halamu. Halam ni kinyume na Sheria.

Ndiomana wengine tunawaita Taifa halam.

Huwalamu wao ni kupingana na sheria zote za kimataifa katika kutendea wengine kwenye Ardhi wapo kinyume ¿¿

Sababu kipande cha Ardhi walichopewa wao wamejimegea chengine cha wengine kwamtutu kinyume na Sheria.

kuwafanya wengine waishi kwa usimamizi wao kinyume cha Sheria

kuzuiya misaada kuwafikia watu kuwanyima watu Chakula maji
umeme vyote ni kinyume cha Sheria !!

Nyie endeleeni tu kutoa Sadaka kwa mungu wa Israel lkn mwaka huu kakutana na wahuni wenye nia nguvu sababu ya kumkumbusha njia uliokujia hapa ni hiii bado ipo wazi kuitumia kuondoka !!!

njia ya kutoka ipo na wanatoka wengi

vita Mwaka wa3 mateka bado wapo palepale Gaza pua na mdomo ¿¿

Nyie mlitudanganya sana mapicha mengiiiii !!!

mmepewa kazi ya kikomandoo badala ya kukombolewa mateka kutwa wanauwa watoto wanawake Sasa mlienda Gaza kuuwa vitoto na wamama¿¿

kama lengo kuuwa vitoto na wamama.¿
Si mngebaki uko uko Israel mngetumia ndege tu kuuwa wamama na watoto kubomoa hospital misikiti makanisa ¿¿

Akili izi mbovu bado utalisikia kondoo la kilokole linapaza sauti Waisrael ndio wanaume wenye akili kuliko mm wala Baba yangu na wanaume wengine wote.

yani kwamba nmm nimo!! Mtuombe ladhi walokole

yani unajivua nguo kijinga kabisa
Waisrael ni mapopoma Tu.

Technology ya Vita juzi wamevuliwa nguo mbele ya Dunia.

IRAN kamchakaza Israel uku Iran ikiwa nyumbani kwake km 2000 kuonesha mimi ndio mkuu wa kitechnology

miji ya Israel imechapika vibaya tambo za kuwa na ulinzi bora wa Anga nao umezikwa rasmi

Kelele zao zote kwishaaa kabisa uko Israel matumaini ya siku zijazo yametoeka.

Palestine malengo yao yatatimia tu kuuwa watoto na wamama sio mwisho wa Vita.

Netanyahu atajibeba tu mana vijana wake wameshachoka kuuwa vitoto mbele ya macho ya Dunia wana onekana makatili sio mashujaa. Kama miaka ya nyuma.

na wanakamatwa nchi zengine kama waharifu wauwaji wanaopaswa kukamatwa popote walipo..

JE kufikia apo kunamatumaini ya siku za usoni. ¿¿

Ndiomana Netanyahu anakazania kufikia lengo lao sasa kama watashindwa sasa

basi lazima sio ombi tena kuwepo mataifa mawili

anajua kupigana Vita uko mbele itakuwa ngumu mana vijana watagoma kabisa kusumbuka na jesh lao
zaid kwasasa wanataka vita isimame wao wawe huru kukimbia nchi zengine kuanza maisha mapya, Israel bai bai bai.

huu ndio ukweli kondoo kunyweni na maji.kama mgumu kumeza..,
Halam-Kharam✔️
Kuzuiya-Kuzuia✔️
Izi-Hizi✔️
Apo-Hapo✔️
Waharifu-Wahalifu✔️
Mana-Maana✔️
Uko-Huko✔️
Yametoeka-Yametoweka✔️.......Andika Kiarabu Tu...Ewe Mwanafunzi Mwema Wa Madrasa....
 
Malipo ni yale yale si namtafuna bi mkubwa wako au unamuonea wivu?

Mtoto wa kiume unaitwa kida kuna nini hapo kama siyo upinde🌈

Malipo ni yale yale si namtafuna bi mkubwa wako au unamuonea wivu?

Mtoto wa kiume unaitwa kida kuna nini hapo kama siyo upinde🌈
Jibu swali hapo juu acha kuzuga we shoga wa kiarabu
 
Toka lini nikajibu maswali ya mashoga mtoto wa kiume unaitwa Kida jina tu la kishoga.
Huna lolote wewe ushuzi tu kazi kupromote ushoga tu ndio maana kila mtu humu unamwita shoga, jibu swali
 
Huna lolote wewe ushuzi tu kazi kupromote ushoga tu ndio maana kila mtu humu unamwita shoga, jibu swali
Toka lini nikajibu maswali ya mashoga mimi.
Mashoga mnajulikani humu JF si unaona unaleta maandiko ya
Ushuzi😂 unajiita Anty Kida😂

Wewe ndiyo umeenza kunifuata unatafuta basha kwa nguvu JF.
 
Toka lini nikajibu maswali ya mashoga mimi.
Mashoga mnajulikani humu JF si unaona unaleta maandiko ya
Ushuzi😂 unajiita Anty Kida😂

Wewe ndiyo umeenza kunifuata unatafuta basha kwa nguvu JF.
Utajibu tu utake usitake sawa anty Ritz la sivyo kipigo kita kuhusu sina utani na mashoga kama wewe nipo seriously
 
Yaani unipore ardhi yangu nami nikuangalie tu kizembezembe!? I see haijalishi ni miaka mingapi itapita ila hautoishi kwa amani.
Nalog off
 
Back
Top Bottom