Wanafundishwa na wanarithi hata mkiristo umsaidie vp lakini lazima awe na chuki huwa wanamezeshwa vizuri sana sasa huyu mada haihusiani na hilo alilosema lakini watatoka moja kwa moja kupresent yaliyo moyoni mwao hasa hawa walioko kwenye institution wanavowaza kama they deserve only kuwa kuanzia mfungua geti mpk raisi wawe wao hawana tolerability kama kuna watu wameumwa ndani ya nchi hii sijui kwa kweli hz chuki they came from huwa wao wakizungumzia mambo yao ya kanisa au kikristo hakuna muislam anaeingia kati kuonesha chuki kama wao bt ni ukosefu wa elimu wengi wao ni kukariri na kuwekwa katika nafasi