Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Masudi kipanya ni mnafiki na mchonganishi tuu....wewe kwanza mtoa mada na huyo Masoud wako mna uhakika gani walio wapigia simu ni watu mnaotaka tuamini? Masoud aache kuchafua watu
 
Hakika upo kifungoni, achore za maendeleo wakati hajaziona?.
Huo ni ujinga na matumizi mabaya ya ubongo, muuweni kwakua kafikisha ujumbe.
Mpumbafu kabisa wewe umeona ni sahihi yanayofanyika?.
 
Masudi kipanya ni mnafiki na mchonganishi tuu....wewe kwanza mtoa mada na huyo Masoud wako mna uhakika gani walio wapigia simu ni watu mnaotaka tuamini? Masoud aache kuchafua watu
Kakuchafua sehemu gani?
 
Leaning mnataka kumfanya nini na yeye
 
CCM wakisaidiwa na glovu nzito za dola wanaingia ulingoni ila wanakutana na kinyago. Then wanafura kwa hasira. I thought walipaswa kufurahi na kuacha kumbugudhi Kipanya
 
Inasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena




View attachment 837454View attachment 837454

Una ushahidi gani. Kwanini tusifikirie kama ni kiki. Mana Kipanya Heri awe anachora arguments zake na maswali yake yako so childish and biased hadi kichefu kichefu ni as if kajua watz wengi wasiosoma wanapenda vimada vya kama vile vya shule ya secondary na Mwalimu mkuu. Anayeonyesha kumpinga Mwalimu mkuu basi anakuwa kiongozi. Stupidity.
 
Katuni za Masoud asilimia kubwa zinahusu Siasa kwa upande wa Serikali na Chama Tawala.

Angekubali tu kuwa mjinga anyoshe mikono juu.
Kwahivo wewe ni mjinga ndomana unamshauri naye awe mjinga au??
 
Pumbavu nyie ndiyo mashujaa wa Keyboard ambao mnakaa kujitapa kwa midomo yenu tokeni nje tuwavunje viuno.

Hata ukisikia Masoud kapotea hutakuwa na Msaada zaidi ya kuja na hashtag kwenye nyuzi zako.

Kwahivo wewe ni mjinga ndomana unamshauri naye awe mjinga au??
 
hahaha hahaa " awali nilidhani ni yanga" kumbe ni wezi wa TAIFA ccm
 
Watanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Na tulivyo kama Rais Trampo alivyotuambia Ukweli Atarudishwa kwa Awamu nyingine.
Kwa hakika hakututukana alisema Ukweli, sidhani kama ukipendeza na Mtu akikuambia Umependeza ni Tusi!
 
Unasema Mange aliwaambia? Wakina nani? Wataje na wewe jitaje kwa kijitofautisha na hao walioambiwa.
 
Katuni za kisanii zikoje. Kwasababu yeye ni msanii...artist cartoonist. This is his style.
Chora wewe katuni za "kisanii" tuzione.
Au chora katuni za "maendeleo" tuzione

Unasoma wapi wewe dogo.
 
Ushahidi wa kupigiwa simu upo wapi?,au tuamini maneno yako,kama vile ya nabii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…