Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Masudi kipanya ni mnafiki na mchonganishi tuu....wewe kwanza mtoa mada na huyo Masoud wako mna uhakika gani walio wapigia simu ni watu mnaotaka tuamini? Masoud aache kuchafua watu
Mimi nimesema ni watu gani kwani?
 
Nimesema inasemekana boss, mbona povu jingi?
 
Watanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Ilitakiwa itokee hivi ili akili zitukae sawa. Hata ongoza milele ila kumbukumbu zake zitaishi mpaka vizazi vijavyo na zitakua reference
 
Masudi kipanya ni mnafiki na mchonganishi tuu....wewe kwanza mtoa mada na huyo Masoud wako mna uhakika gani walio wapigia simu ni watu mnaotaka tuamini? Masoud aache kuchafua watu
Masudi Kipanya Kamchonganisha nani na nani?
 
Kwa hiyo serikali au ccm ina timu ya ndondi??
 
Yeye kama msanii kazi yake ni kuchora katuni kutokana na mambo yanayotokea kwenye jamii. Sasa wewe ni nani mpaka umpangie kitu cha kuchora?!
 
Kila kipawa kinahitaji ushauri, malezi na maongozi. Ulimwengu umekuwa na watu wengi wazuri ambao vipawa vyao vilikosa malezi na mashauri na vikaishia njiani. .
Huu ushauri wako ni wa kipuuzi kajipange tena
 
Masudi kipanya ni mnafiki na mchonganishi tuu....wewe kwanza mtoa mada na huyo Masoud wako mna uhakika gani walio wapigia simu ni watu mnaotaka tuamini? Masoud aache kuchafua watu
Vipi alikuchafua huko nyuma kwenye shimo la taka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…