Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
597
Reaction score
1,240
Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.

Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.

Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.

Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?

Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.

Nipeni ushauri
 
ni sawa uzuri unaendelea na kujifunza kazi
 
Hizo ni changamoto za maisha na ni hali tuu unapitia,,kitendo cha kuonesha nia ya kusonga mbele zaidi tayari ni njia itakayokufanya ufanikiwe baadae,,nakushauri hio kazi usiache lakini ongeza juhudi ya kutafuta kazi nyingine.
 
Yeah 3000 ni ndogo sana, ila kama unaipata kwa wakati, hakikisha hununui chakula mgahawani, pika mwenyewe.

. Pia hakikisha una save mpaka unafikisha 300,000/-, huu utakuwa mtaji mzuri wa kuazisha biashara.

. Biashara nyingine ya kipato cha 3000 kwa siku, fungua genge la kuchoma mahindi( ni biashara zuri sana kwa kuazia kwa level ya chini)
 
Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.

Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.

Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.

Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?

Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Piga kazi huku ukiwa unaangalia michongo mingine thou hujatuambia kama hiyo elfu tatu ni baada ya matumizi yako yote ya siku au matumizi yako yapo ndani ya pesa hiyo...
 
Weka 1000 kila siku, na ufanye kazi hapo Kwa miaka mitatu utakuwa na akiba ya sh.1,095,000

  1. Kiasi unachowekea kila siku: Tsh 1,000
  2. Idadi ya siku kwa mwaka: 365 (tukizingatia bila miaka ya leap)
  3. Miaka: 3

Kwanza pata kiasi unachowekea kwa mwaka:

1,000 \times 365 = 365,000

Sasa zidisha kwa miaka 3:

365,000 \times 3 = 1,095,000
Kidding😜
 
Kama hakupi msosi, pahala pa kulala, na matibabu… mwambie boss wako 🖕
Hapa si kuongezewa mshahara, bali ajitahidi kuongeza uwezo wa uzalishaji.
kas.jpg
 
Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.

Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.

Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.

Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?

Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Kwani wewe binafsi una malengo gani?
 
Ba

Wewe unaonaje?yaani unauliza swali au? hiyo si ni nauli ya kwenda huko unakopata mshahara wa 3000?
 
Mi nimewahi ajiliwa na classmate wangu aliyeishia form four wakati nina diploma yangu kwa ujira wa sh 3000 kwa siku wakati mwingine hata nisipate hiyo 3000 yote kwa yote namshukuru sana alinivusha kipindi kigumu sana kiuchumi wakati wa corona hiyo elfu tatu ilikua kubwa sana kwangu kwa wakati ule
 
Back
Top Bottom