Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,773
Kujipikia mwenyewe Kwa tumbo la mtu mmoja ni gharama kiongozi,Yeah 3000 ni ndogo sana, ila kama unaipata kwa wakati, hakikisha hununui chakula mgahawani, pika mwenyewe.
. Pia hakikisha una save mpaka unafikisha 300,000/-, huu utakuwa mtaji mzuri wa kuazisha biashara.
. Biashara nyingine ya kipato cha 3000 kwa siku, fungua genge la kuchoma mahindi( ni biashara zuri sana kwa kuazia kwa level ya chini)