ni sawa uzuri unaendelea na kujifunza kaziNiaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.
Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.
Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?
Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Hizo ni changamoto za maisha na ni hali tuu unapitia,,kitendo cha kuonesha nia ya kusonga mbele zaidi tayari ni njia itakayokufanya ufanikiwe baadae,,nakushauri hio kazi usiache lakini ongeza juhudi ya kutafuta kazi nyingine.Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.
Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.
Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?
Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Piga kazi huku ukiwa unaangalia michongo mingine thou hujatuambia kama hiyo elfu tatu ni baada ya matumizi yako yote ya siku au matumizi yako yapo ndani ya pesa hiyo...Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.
Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.
Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?
Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Ahsante kwa ushauri.Piga kazi huku ukiwa unaangalia michongo mingine thou hujatuambia kama hiyo elfu tatu ni baada ya matumizi yako yote ya siku au matumizi yako yapo ndani ya pesa hiyo...
Hapa si kuongezewa mshahara, bali ajitahidi kuongeza uwezo wa uzalishaji.Kama hakupi msosi, pahala pa kulala, na matibabu… mwambie boss wako 🖕
Kwani wewe binafsi una malengo gani?Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.
Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.
Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?
Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Wewe unaonaje?yaani unauliza swali au? hiyo si ni nauli ya kwenda huko unakopata mshahara wa 3000?Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.

Nipeni ushauri