Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,773
Kujipikia mwenyewe Kwa tumbo la mtu mmoja ni gharama kiongozi,Yeah 3000 ni ndogo sana, ila kama unaipata kwa wakati, hakikisha hununui chakula mgahawani, pika mwenyewe.
. Pia hakikisha una save mpaka unafikisha 300,000/-, huu utakuwa mtaji mzuri wa kuazisha biashara.
. Biashara nyingine ya kipato cha 3000 kwa siku, fungua genge la kuchoma mahindi( ni biashara zuri sana kwa kuazia kwa level ya chini)
Gharama ni kununua, siyo kupika...Kujipikia mwenyewe Kwa tumbo la mtu mmoja ni gharama kiongozi,
Alf kuna mtu anapata 1M kwa mwezi 🤔Weka 1000 kila siku, na ufanye kazi hapo Kwa miaka mitatu utakuwa na akiba ya sh.1,095,000
- Kiasi unachowekea kila siku: Tsh 1,000
- Idadi ya siku kwa mwaka: 365 (tukizingatia bila miaka ya leap)
- Miaka: 3
Kwanza pata kiasi unachowekea kwa mwaka:
1,000 \times 365 = 365,000
Sasa zidisha kwa miaka 3:
365,000 \times 3 = 1,095,000
Kidding😜
Jaribu kuchunguza kama anaishi dar bora anunue 2000 unaweza kuitumia mchana na usikuGharama ni kununua, siyo kupika...
Piga kazi kuliko kukaa bure, safari moja huanzisha nyingine... Unaweza ukajitengenezea connection zako huko huko, who knows?...Ahsante kwa ushauri.
Hiyo 3000 ni kama malipo ila kula na kulala hakuna shida. Napata vyote.
Usiangalie mlo wa siku moja, angalia mlo wa mwezi mzima na unakula kitu gani.Jaribu kuchunguza kama anaishi dar bora anunue 2000 unaweza kuitumia mchana na usiku
Sio Kwa mwezi Kwa lisaa limoja,Alf kuna mtu anapata 1M kwa mwezi 🤔
Hapana, hiyo ni hela ndogo sana Chief, hata wadada wanaomsaidia mama ntilie kwa kila siku jioni wanaondoka na 5,000/= na bado ni ndogo....yaani ufanye kazi ya 90,000/= kwa mwezi? HapanaaaaNiaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.
Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.
Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?
Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Nipeni ushauri
Tafuta kazi ingine ukiweza fanya kazi zaidi ya moja.Kuwa billionera! Nakutania...nataka niwe na pesa nzuri
Umeweka phobia nyingi sana kwenye maisha yako, kufeli kwako kunaanza na wewe mwenyewe, sina cha kukushauli zaidi ya kukuambia inuka anza kuikana hiyo roho ya woga ndani yako.Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.
Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.
Sasa nauliza tu hii 3000tsh kwa siku ni ela nzuri au ?
Maweza kufanya maendeleo kwa hela hiyo?
Nimevunjika moyo nahisi 3000 kwa siku ni utoto.
Nipeni ushauri