Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Muachage utoto jamni ๐๐๐๐๐๐๐๐Weka 1000 kila siku, na ufanye kazi hapo Kwa miaka mitatu utakuwa na akiba ya sh.1,095,000
- Kiasi unachowekea kila siku: Tsh 1,000
- Idadi ya siku kwa mwaka: 365 (tukizingatia bila miaka ya leap)
- Miaka: 3
Kwanza pata kiasi unachowekea kwa mwaka:
1,000 \times 365 = 365,000
Sasa zidisha kwa miaka 3:
365,000 \times 3 = 1,095,000
Kidding๐
Mkuu niunganishe sasa na mimi nifanye kazi kariakoo unajua mpaka sas anashangaa naishi ishi tu hata pesa sijui natoa wapi ila.najikuta nalipia frem .. chumba changu cha kuishi na chumba cha kukaa mtu wa kulinda vtu vyangu...Piga kazi kuliko kukaa bure, safari moja huanzisha nyingine... Unaweza ukajitengenezea connection zako huko huko, who knows?...
Mimi niliwahi kukaa sehemu nikawa nalipwa elfu tano kwa siku, hiyo ni nauli pamoja na kula asubuhi na jioni, mchana unakula ofisini, mwezi wa kwanza ulikua mgumu ila baadae nilisoma mchezo wa pale ofisini Kila siku nikawa sitoki bila afu 30 or 20 halali katika mfuko wangu.
Ingawa hayo yote yanategemeana na aina ya kazi unayofanya lakini pia location uliyopo imechangamka kiasi gani (Mimi location ilikua ni kariakoo, ofisi ya designing and branding), mambo ya kina Poor Brain
kwahiyo kuna wakati hata anaekuajiri anajua kwamba ukikaa kwenye ofisi yake haukosi hela ya ziada ila hakwambii moja kwa moja.
Just kidding mkuu!Muachage utoto jamni ๐๐๐๐๐๐๐๐
Nimecheka sana aiseeee ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐unajua nimewaza mbali sana aiseeeeeJust kidding mkuu!
Kwann?Nimecheka sana aiseeee ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐unajua nimewaza mbali sana aiseeeee
Dah kweli Wapo pia walisaaSio Kwa mwezi Kwa lisaa limoja,
Anyway kila mbuzi atakula Kwa urefu wa kamba yake!
Hiyo calculation ya miaka mitatu buku buku daaah oyaaa weeeh so poaKwann?
Ujue mkuu hii Dunia we Fanya Yako tu Kwa uwezo wako, maana ata tajiri ana tajiri yake! Na hakuna wonder unayoweza kufanya ambayo haijawahi kufanywa, so relax๐คDah kweli Wapo pia walisaa
Kuna watu wanaweka mkuu amini, Tena anaweka ndani ya miaka mitano!Hiyo calculation ya miaka mitatu buku buku daaah oyaaa weeeh so poa
Acha bana ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ acha.mkuuKuna watu wanaweka mkuu amini, Tena anaweka ndani ya miaka mitano!
Mchaga,muha,mpare weka mbali na watoto!๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha bana ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ acha.mkuu
๐๐๐๐๐ Tuishie hapa kwa leo kaka imetosha bana ๐๐๐๐
Si unatoa kwa mshangazi wako Dori ๐๐...Mkuu niunganishe sasa na mimi nifanye kazi kariakoo unajua mpaka sas anashangaa naishi ishi tu hata pesa sijui natoa wapi ila.najikuta nalipia frem .. chumba changu cha kuishi na chumba cha kukaa mtu wa kulinda vtu vyangu...
Nashangaaa sana pesa natoa wapi
Aupo serios affirm unachojinenea hutokeaKuwa billionera! Nakutania...nataka niwe na pesa nzuri
Anapikia nini? Au Pastor Tony yupo?Usiangalie mlo wa siku moja, angalia mlo wa mwezi mzima na unakula kitu gani.
2000 ร 30 = Tsh 60000/- na ukumbuke kuwa siyo kila siku atakula 2000 kuna mda itafika hadi 3000 kwa siku.
. Sasa chukua hiyo 40000 Nenda sokoni kahemee
. Dona ya 10000/- kg 10,
. Mchele 20000/- kg 20
. Maharagwe 5000/-
. Mafuta ya 5000/-
Unabakiza 20000 kwa ajili ya kubadilishia mboga baadhi ya siku, ukichoka kula maharagwe.
Faida
1. ni kula chakula unashiba vizuri kabisa, kuliko kula chakula cha kupimiwa.
2. Pia kuna kiasi cha akili hukua kulingana na kujipikia mwenyewe.
Mkaa wa buku unamtosha kabisa..Anapikia nini? Au Pastor Tony yupo?