Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar

Chanzo: East Africa TV

Mwenyezi Mungu ni lini utatupa tena Zawadi Watanzania ya Watu kama Nyerere, Mkapa na Magufuli ili tupige hatua?
 
Mtu yoyote akitaka aione Tanzania ni chungu, basi atake kuzimiliki hizi timu na kuzitenga na chama kile.

Hii ni kwa sababu hizi timu zinatumiwa kuwapunguzia stress za maisha Watanzania, hivyo zinafuatiliwa sana na serikali.

Jiulizeni, GSM kaleta maendeleo pale Yanga lakini anataka kuletewa mdhamini mwingine. Hii ni kwa sababu ya timu kuendelea kuwa karibu na serikali. Huyo mdhamini mpya atakuwa kama spy vile na atakuwa anaripoti moja kwa moja kwa aliyemleta.

Hizi timu hazitamilikiwa na mtu binafsi miaka ya hivi karibuni labda kile chama kiondoke madarakani.

Yaani hata mtu binafsi awe mjanja vipi kutaka kuzimiliki hizi timu kama anavyofanya GSM lakini ipo siku atagundulika tu akitaka kujimilikisha na atapewa zengwe baada ya kugundulika nyendo zake.

Kwa mfano, leo mashabiki wa Yanga wanamfurahia GSM ila siku GSM akigundulika ana njama za kujimilikisha Yanga utaibuliwa mgogoro mpaka mashabiki watashangaa.
 
mkuu ,ndo m-badala mahususi baada ya kudharau kanisa katolic wa TEC

Anahaha kutafuta mfereji

JAPO
Kachelewa kuelewa kauli ya kikwete iliyosema labda "akosee saaanaa"
 
Back
Top Bottom