Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

Ungeuliza kuhusu kupiga mswaki, napiga mswaki usiku baada ya chakula badala ya kupiga asubuhi kama wengine walivyozoea.
 
Ungeuliza kuhusu kupiga mswaki, napiga mswaki usiku baada ya chakula badala ya kupiga asubuhi kama wengine walivyozoea.
Kwahyo ww Asubuhi hukutani na mswaki kabsa!!!?
 
Mleta hoja unachanganya mambo kidogo, kuna wanaooga na wale ambao wanajimwagia maji.
Mvuto wa bafu
Mazingira mazuri na safi bafuni ndio chanzo kikuu watu kuoga mara kwa mara.
Mfano: Kuna watu bafuni kuna miundombinu yote ya kisasa kama SAUNA, jacuz, mfumo wa maji ya vuguvugu, n.k why asioge na ukizingatia bafu lipo mita 3 kutoka anapolala.
Sasa ukija uswazi ni balaa! Bafu na choo humo humo, full of bad smells.. why usilale bila kuoga?
Tena hapo unalala Manzese na kunya unakunya au kuoga Ubungo.
TAFUTA PESA KAMANDA, UTAOGA KAMA CHURA.
NA HII NDIO MAANA WAKISHUA WOTE HUWA NA HARUFU ZAO MAANA WANAOGA BUT HUKU USWAZI TUNAFAKAMIA DODOKI NA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI MKONONI UMESHIKA SABUNI YA GIV, AYU, MAGADI N.K
 

Nunua jagi la umeme unachemsha maji unaoga
 
Hahahahhaha sawa nitalifanyia kazi wazo lako
Wewe muoga maji ya baridi nami siogi maji ya baridi labda hayo yawe uvuguvugu kama maji ya baridi naweza ghairi kuoga
Na ukijenga kwako heater bafuni muhimu sana
 
Wanawake wanapitia magumu sn,

Hivi wanawezaje kulala na mwanaume ametoka juani na majasho bila kuoga?
 
Kwahyo ww Asubuhi hukutani na mswaki kabsa!!!?
Asubuhi naamka na chai ya Tangawizi. Ila logic ni kwamba usiku ukishakula vyakula vyetu vya kitanzania na ukalala ni kwamba unafunga mdomo masaa nane au zaidi hivyo bacteria wanapata muda wa kutumia mabaki ya chakula kujishibisha na kufanya uharifu kwenye fizi/kinywa. Mchana uharibifu ni mdogo maana mdomo uko wazi muda mwingi.
Kwa hiyo nahamasisha tupige mswaki baada ya chakula cha usiku badala ya kupiga asubuhi.
 
Hiyo ya Usiku upo sawa, lakin Asubuh pia ni muhimu asee iwe kabla au baada ya kunywa chai
 
Ni vyema uoge asubuhi na jioni, biological wanasema kuoga mara kunaondoa askari wa mwili, inatakiwa mara moja kwa week duh ila hii ni noma
 
Mkuu hata wakipaka deodorant bado ngoma ilikuwa inadunda..
 
Maji ya moto asubuhi ,nimenyoosha nguo na perfume yangu ya kupima.Najisikia freesh kama cucumber.'Simu moja tu tukutane benki'
[emoji3][emoji3]au sio.."simu moja tukutane benki"

Kuwa msafi na kunukia vizuri kuna kupa kujiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…