Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mara sita kwa siku we jinsia gani mkuu ?Sasa kama maji yapo kwanini nisioge hata mara sita kwa siku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara sita kwa siku we jinsia gani mkuu ?Sasa kama maji yapo kwanini nisioge hata mara sita kwa siku...
Haya 😂Nitatotesha mabawa yangu nishindwe kupeperuka
Hhaahaahhahahaahahaha!Wakazi wa Dar nyie. Si huku Makete ata hatuongelei iyo issue.
[emoji23][emoji23]Mkuu utakuwa unatoa harufu kama mzoga
Tena Siku hizi ukiamka asubuh kuna upepo fulani hivi na baridi.......nakula passport ya nguvu na napulizia perfume yangu ya kupima toka mlimani city........Hapo nikiingia kwenye mwendokasi nanukia vizuri sana na watoto wa kike wote lazima wanigeukie mkaka anayenukia na perfume yake imejaa kwenye gar yote
Najua wavivu wenzangu wa kuoga hawawezi kununua perfume za kuanzia laki 5.............ila waende pale Mlimani city zipo za kupima kuanzia 50,000/=,ukipulizia hiyo na ukifika ofisini unakuwa Breathe of the Area
Hahahahhaha sawa nitalifanyia kazi wazo lakoNunua jagi la umeme unachemsha maji unaoga
Wewe muoga maji ya baridi nami siogi maji ya baridi labda hayo yawe uvuguvugu kama maji ya baridi naweza ghairi kuogaHahahahhaha sawa nitalifanyia kazi wazo lako
Wanawake wanapitia magumu sn,Wote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe uoge Asubuhi au Usiku
Binafsi napenda kuoga Asubuhi mara nyingi, ni mara chache sana naweza kuoga usiku tena ikitokea siku nimeoga usiku basi kesho Asubuhi nitajisikia uvivu kuoga tena
KWANINI NAOGA ASUBUHI?
Naoga Asubuhi kwasababu naamini ndio muda sahihi wa kutoa uchafu wote ikiwemo na seli za ngozi zilizokufa and other bodily fluids
Pia nakua fresh zaidi kuianza siku mpya
KWANINI SIOGI USIKU
Mwili wa mwanadamu bado huwa unazalisha harufu mbaya usiku na hukusanya wadudu na seli za ngozi zilizokufa. hivyo kama Ukioga usiku itakulazimu kuoga tena Asubuhi kitu ambacho ni Anasa na upotevu wa Maji
Kwako kipi Bora na Sahihi? Kuoga Usiku au Asubuhi? Uzi unawahusu Wanaume tu, Wanawake Najua ni muhimu kuoga mara 2 Kila siku
View attachment 2264661
Asubuhi naamka na chai ya Tangawizi. Ila logic ni kwamba usiku ukishakula vyakula vyetu vya kitanzania na ukalala ni kwamba unafunga mdomo masaa nane au zaidi hivyo bacteria wanapata muda wa kutumia mabaki ya chakula kujishibisha na kufanya uharifu kwenye fizi/kinywa. Mchana uharibifu ni mdogo maana mdomo uko wazi muda mwingi.Kwahyo ww Asubuhi hukutani na mswaki kabsa!!!?
Hiyo ya Usiku upo sawa, lakin Asubuh pia ni muhimu asee iwe kabla au baada ya kunywa chaiAsubuhi naamka na chai ya Tangawizi. Ila logic ni kwamba usiku ukishakula vyakula vyetu vya kitanzania na ukalala ni kwamba unafunga mdomo masaa nane au zaidi hivyo bacteria wanapata muda wa kutumia mabaki ya chakula kujishibisha na kufanya uharifu kwenye fizi/kinywa. Mchana uharibifu ni mdogo maana mdomo uko wazi muda mwingi.
Kwa hiyo nahamasisha tupige mswaki baada ya chakula cha usiku badala ya kupiga asubuhi.
Ila wewe ni mchokozi [emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar wanajadiliana kuoga
Ni vyema uoge asubuhi na jioni, biological wanasema kuoga mara kunaondoa askari wa mwili, inatakiwa mara moja kwa week duh ila hii ni nomaWote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe uoge Asubuhi au Usiku
Binafsi napenda kuoga Asubuhi mara nyingi, ni mara chache sana naweza kuoga usiku tena ikitokea siku nimeoga usiku basi kesho Asubuhi nitajisikia uvivu kuoga tena
KWANINI NAOGA ASUBUHI?
Naoga Asubuhi kwasababu naamini ndio muda sahihi wa kutoa uchafu wote ikiwemo na seli za ngozi zilizokufa and other bodily fluids
Pia nakua fresh zaidi kuianza siku mpya
KWANINI SIOGI USIKU
Mwili wa mwanadamu bado huwa unazalisha harufu mbaya usiku na hukusanya wadudu na seli za ngozi zilizokufa. hivyo kama Ukioga usiku itakulazimu kuoga tena Asubuhi kitu ambacho ni Anasa na upotevu wa Maji
Kwako kipi Bora na Sahihi? Kuoga Usiku au Asubuhi? Uzi unawahusu Wanaume tu, Wanawake Najua ni muhimu kuoga mara 2 Kila siku
View attachment 2264661
Mkuu hata wakipaka deodorant bado ngoma ilikuwa inadunda..Wafanyakazi wa ndani waliopitia kwangu wengi wao harufu ya mwili ilikua haishi, hata aoge vipi, ajipake manukato vipi lakini harufu iko pale pale, haina tofauti na beberu la mbuzi. Na sio wao tu, watu weusi wengi wao huku nilipo wako hivyo. Sijui ni kwanini!!
[emoji3][emoji3]au sio.."simu moja tukutane benki"Maji ya moto asubuhi ,nimenyoosha nguo na perfume yangu ya kupima.Najisikia freesh kama cucumber.'Simu moja tu tukutane benki'