Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
- Thread starter
- #81
🤣🤣🤣 Yote ni maisha kikubwa usafiri mkuuMnipige mniue pikipiki siachi kama mtanidharau ni sawa lkn unatumia mafuta nami natumia mafuta 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Yote ni maisha kikubwa usafiri mkuuMnipige mniue pikipiki siachi kama mtanidharau ni sawa lkn unatumia mafuta nami natumia mafuta 🤣🤣
🤣🤣🤣Kesho tunaambiwa bahiri😂😂
Umeolewa ?Oa kwanza...wanawake wengine ni baraka...utashangaa mwenyewe..
Anzeni wote kupanga....then mtajenga
Actually mdauHili ndilo ambalo ata mimi nilikuwa nataka kumshauri ni muhimu kuanza na Mungu mshahara wa kwanza atakaoupata akatoe sadaka na kusaidia wasiojiweza
Usijenge…wekeza miradi ikichanganya ndio ujenge utanikumbukaJenga kwanza jihakikishie makazi yako ya kudumu.
Ndio nimeolewa huu mwaka wa 8...Umeolewa ?
Ok vizuriNdio nimeolewa huu mwaka wa 8...
Ushauri w kuoa kwanza ni wa kupingwa kwa nguvu zoteOa kwanza ,nunua gari , Jenga nyumba biashara utanza ukizeeka
Mkuu umeuliza kitu kizuri sanaa.. Binafsi baada ya kuajiriwa nilikosea na kujifunza kwamba kuna mambo yanatakiwa uyape kipaumbele kama hujafikia/ kutimiza.Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
Asante kwa deep analysisMkuu umeuliza kitu kizuri sanaa.. Binafsi baada ya kuajiriwa nilikosea na kujifunza kwamba kuna mambo yanatakiwa uyape kipaumbele kama hujafikia/ kutimiza.
1. Kuwa na makazi. Kama upo single unaweza kujenga ndani ya mwaka mmoja hadi miwili. Hatakama hujamaliza kujenga utakua umefikia umefika hatua flani NB: uwe na lengo moja tu lakujenga.
2. Kuwa na biashara ambayo unauzoefu nayo au unaijua NB: fanya unachokipenda pia nashauri biashara inayoweza kukupa senti kila siku.
NB: Biashara inataka moyo mgumu. Kama uwezi wekeza vingne.
3.Kuoa. Hapa sina comment sana, ila omba mungu akupe mke mwema. Mimi baada ya kuoa mke kila kitu kilivurugika, mke alienda kutoa vitu vya ofini alivunja had kufuri mzee. Omba yasikukute hayo
4. Usafiri. Hii Muhimu sanaa mkuu.. ata kama huna rout nyingi ila kuwanayo muhimu. Unaweza kuwa na pikipiki au Gari (Baiskel iwe kwa ajili ya watoto)
5.Kipaumbele chako. Hii ni uamuzi wako kama unaongeza nyumba au biashara nk
hakika ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safiNdoa inapigwa vita
et toi?Mansion!!
Sasa Mungu ndio kashakupa kazi utaanza nae kwa namna gani?Anza na Mungu dogo.......
Umekalili sadaka huwa inatolewa na masikini tu utakuwa umechelewa sana sadaka inatolewa na matajiri kwa wingi sana huko makanisani na misikitini na vituo vya watoto yatima usizani mambo huwa yanaenda tu yenyewe Mung kwanzaWakaile hela kina mwamposa ?