Kipi kilichomvutia Rais Samia kumpa Biteko Unaibu Waziri Mkuu?

Unaweza kusema anahitaji kura za Wasukuma waliopo Mwanza,Shiny anga,Geita,Simiyu &Tabora.But sio kura kwa ajili ya Rais ni kwa ajili ya Wanyeviti wa vijiji,Madiwani na Wabunge.
Maana yeye kama Rais mpige kura au msupige lazima atashinda kwa nguvu ya dola
 
  1. Kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa watu wa kanda ya huko
  2. Kuna pigo tunaandaliwa huko kwenye madini rejea kupelekwa mkwe utalii na maliasili
  3. Zawadi kwa waprotestant kwakuwa hawakuandika waraka
  4. Kuwianisha mambo maana yule wa Kigoma yuko peke yake
Kwa hiyo hapo unaona umefikir sanaaa
Chakubanga wewe
 
Kavutiwa na usukuma gang wa Biteko aliamini kwa kumteua atawavutia wafuasi wa jini jiwe
 
Kihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri.

Kwa maneno mengine waliopata kuwa na utendaji uliotukuka Kwa kiwango cha kuwa tishio hata kwa serikali nzima.

Tukija kwa Doto sikatai kwamba ni waziri mzuri lakini ni waziri mzuri kama walivyo mawaziri wengine. Ingekuwa kama ilivyokuwa zamani jpm akiwa waziri akapewa huo unaibu waziri mkuu, angalau ingeleta maana.
Hata ingekuwa siku za makonda akiwa wa moto ingebuniwa nafasi kama ile isingeleta shida.

Sasa huyu ndugu kapewa licheo kapewa liwizara pasua kichwa namna hiyo najiuliza huyu mbaba wa watu si wanamuonea tu!?
Amelenga kudanganya Sukuma gang , hata Mnyeti ni Naibu Waziri
 
Anatokea kwenye big voting block, ni usukuma/unyamwezi wake tu, Chadema na Lisu,walivuruga kabisa kanda ya ziwa, kwa kuelezea madudu ya samia na ccm, tiketi pekee anayotegemea samia kuitumia kwenye uchaguzi ni uhusiano wake na Maghufuri(msukuma), inabidi aonyeshe bado analinda regacy ya maghu, sasa kwa vile kanda ya, ziwa pamechafuliwa, ikabidi atafutwe msukuma/nyamwezi ambae wasukuma wataona samia hajawatupa, ni hicho tu,

..Lissu akachafue na kanda nyingine na huko wapate Naibu Waziri Mkuu. Kila kanda iwe na Naibu Waziri Mkuu.
 
Kihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri.

Kwa maneno mengine waliopata kuwa na utendaji uliotukuka Kwa kiwango cha kuwa tishio hata kwa serikali nzima.

Tukija kwa Doto sikatai kwamba ni waziri mzuri lakini ni waziri mzuri kama walivyo mawaziri wengine. Ingekuwa kama ilivyokuwa zamani jpm akiwa waziri akapewa huo unaibu waziri mkuu, angalau ingeleta maana.
Hata ingekuwa siku za makonda akiwa wa moto ingebuniwa nafasi kama ile isingeleta shida.

Sasa huyu ndugu kapewa licheo kapewa liwizara pasua kichwa namna hiyo najiuliza huyu mbaba wa watu si wanamuonea tu!?

Same reason aliyotumia kumchagua Makam wa Rais.
 
Nakumegea Siri.
Huyu DB ana uhusiano Mkubwa sana na Msoga, uhusiano wa ndani sana. Umejikita kwenye mambo mengi, maeneo ya madini, ushawishi kanda ya Ziwa,
DB amekuwa na mawasiliano na vikao vingi sana na Msoga. Shortly ni handler wao kwenye mambo mengi. 2025 ndio Makamu wa Rais. Na mengine yatatokeo pale katikati ya 2025_26.

Lkn pia ukiachana na huo UKWELI, kuna conspiracy nyingine kuwa anapenyezwa na vijana wa PK wenye ushawishi ndani ya TZ. Hili linapata nguvu kutokana na asili yake na closer contact alizonazo hasa akiwa Jimboni na Mza.
Kwa sasa ndio mawaziri wenye ushawishi sana kwa kundi la Walimu ambao ndio watakao simamia uchaguzi 2025. Kuanzia March 2024 hawa walimu wataanza kupewa seminar nyingi nyingi za kuwaweka sawa.

Ukisikia Waziri wa TAMISEMI anasema hakuna kijiji kitaenda upinzani ni kuvuja tu kwa mkakati.
 
Siku hizi JF hakuna great thinkers. Watu mnafanya analysis bila kutumia taarifa za performance yake ktk wizara aliyoiongoza. Amekuta mchango wa sekta ya madini kwenye GDP mfano Mwaka 2017/2018 ukiwa chini ya 4%. Leo sekta hiyo inachangia 9.7% na target ikiwa ni 10% ifikapo 2025. Yaani ndani ya muda mfupi kaleta mageuzi makubwa katika ishu ya wazawa kumiliki uchumi wa nchi. Ushahidi wa hilo upo Katika takwimu za mchango wa wachimbaji wadogo mfano. Katika kipindi hicho cha mwaka 2017/2018 wachimbaji wadogo walikuwa wanachangia 8% ya hiyo contribution ambayo ilikuwa chini ya 4%. Kwa takwimu za tume ya madini za 2021/2022 wachimbaji wadogo wanachangia zaidi ya 40% ya hiyo 9.7% inayochangiwa na sekta nzima yaani wakiwemo migodi Mikubwa.
Mauzo ya madini nje ya nchi yanaingiza fedha za kigeni kwa 52% sasa na wachimbaji wadogo aliowalea huyu mwamba wamechangia zaidi ya 40 % ya mauzo hayo.
Sekta hii inafungamana na zingine kwa sasa. Kwa sasa utaona mahoteli, vituo vya mafuta, ukuaji wa miji yanapochimbwa madini na hata kilimo na biashara zingine. Masoko yamezagaa Kila kona ya nchi. Akina papa msofe wamepotea siku hizi.
Ukiacha sifa hizi ni kwamba huyu jamaa ni mpole na mnyenyekevu. Hupenda kujiridhisha na kila taarifa. Hakurupuki. Sifa Kubwa kuliko zote huwa habagui wa kumpokelea simu. Just call and he'll instantly receive your calls.
Tumwombeeni kwa Mungu na tumpe ushirikiano. Tuombe Mungu nasisi tupewe uzima, muda sio mrefu mtaona mabadiliko.
 
Biteko Hana ushawishi Kanda ya ziwa kumshinda Paulo makonda
Makonda kama kweli anakubarika kwao,kwanini alikimbilia kugombea ubunge Kigamboni?
Watu kama Makonda wamepitwa na wakati,tena ni bora ale pensheni yake taratibu kwani wapo watu waliumizwa sana na mtu huyo
 
Nakumegea Siri.
Huyu DB ana uhusiano Mkubwa sana na Msoga, uhusiano wa ndani sana. Umejikita kwenye mambo mengi, maeneo ya madini, ushawishi kanda ya Ziwa,
DB amekuwa na mawasiliano na vikao vingi sana na Msoga. Shortly ni handler wao kwenye mambo mengi. 2025 ndio Makamu wa Rais. Na mengine yatatokeo pale katikati ya 2025_26.

Lkn pia ukiachana na huo UKWELI, kuna conspiracy nyingine kuwa anapenyezwa na vijana wa PK wenye ushawishi ndani ya TZ. Hili linapata nguvu kutokana na asili yake na closer contact alizonazo hasa akiwa Jimboni na Mza.
Kwa sasa ndio mawaziri wenye ushawishi sana kwa kundi la Walimu ambao ndio watakao simamia uchaguzi 2025. Kuanzia March 2024 hawa walimu wataanza kupewa seminar nyingi nyingi za kuwaweka sawa.

Ukisikia Waziri wa TAMISEMI anasema hakuna kijiji kitaenda upinzani ni kuvuja tu kwa mkakati.
Uongo mtupu utamdanganya Nani wewe DB ni sukuma gang, na hii imelenga kuwa-wing wasukuma
 
Back
Top Bottom