Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwa hiyo hapo unaona umefikir sanaaa
- Kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa watu wa kanda ya huko
- Kuna pigo tunaandaliwa huko kwenye madini rejea kupelekwa mkwe utalii na maliasili
- Zawadi kwa waprotestant kwakuwa hawakuandika waraka
- Kuwianisha mambo maana yule wa Kigoma yuko peke yake
Kitu gani labda?,au kuwin kura za lake zone....BITEKO ana kitu cha ziada ambacho mawaziri wengi hawana, huwezi kukijua ni siri ya mkuu wa nchi!
Jata angepewa yeye haikuwa na sababu yoyote ya kumtengenezea cheoWewe kwa mtazamo wako ulikua unataka hili liwizara pasua kichwa apewe nani?
Amelenga kudanganya Sukuma gang , hata Mnyeti ni Naibu WaziriKihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri.
Kwa maneno mengine waliopata kuwa na utendaji uliotukuka Kwa kiwango cha kuwa tishio hata kwa serikali nzima.
Tukija kwa Doto sikatai kwamba ni waziri mzuri lakini ni waziri mzuri kama walivyo mawaziri wengine. Ingekuwa kama ilivyokuwa zamani jpm akiwa waziri akapewa huo unaibu waziri mkuu, angalau ingeleta maana.
Hata ingekuwa siku za makonda akiwa wa moto ingebuniwa nafasi kama ile isingeleta shida.
Sasa huyu ndugu kapewa licheo kapewa liwizara pasua kichwa namna hiyo najiuliza huyu mbaba wa watu si wanamuonea tu!?
Anatokea kwenye big voting block, ni usukuma/unyamwezi wake tu, Chadema na Lisu,walivuruga kabisa kanda ya ziwa, kwa kuelezea madudu ya samia na ccm, tiketi pekee anayotegemea samia kuitumia kwenye uchaguzi ni uhusiano wake na Maghufuri(msukuma), inabidi aonyeshe bado analinda regacy ya maghu, sasa kwa vile kanda ya, ziwa pamechafuliwa, ikabidi atafutwe msukuma/nyamwezi ambae wasukuma wataona samia hajawatupa, ni hicho tu,
Kihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri.
Kwa maneno mengine waliopata kuwa na utendaji uliotukuka Kwa kiwango cha kuwa tishio hata kwa serikali nzima.
Tukija kwa Doto sikatai kwamba ni waziri mzuri lakini ni waziri mzuri kama walivyo mawaziri wengine. Ingekuwa kama ilivyokuwa zamani jpm akiwa waziri akapewa huo unaibu waziri mkuu, angalau ingeleta maana.
Hata ingekuwa siku za makonda akiwa wa moto ingebuniwa nafasi kama ile isingeleta shida.
Sasa huyu ndugu kapewa licheo kapewa liwizara pasua kichwa namna hiyo najiuliza huyu mbaba wa watu si wanamuonea tu!?
Nakumegea Siri.Kihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri.
Kwa maneno mengine waliopata kuwa na utendaji uliotukuka Kwa kiwango cha kuwa tishio hata kwa serikali nzima.
Tukija kwa Doto sikatai kwamba ni waziri mzuri lakini ni waziri mzuri kama walivyo mawaziri wengine. Ingekuwa kama ilivyokuwa zamani jpm akiwa waziri akapewa huo unaibu waziri mkuu, angalau ingeleta maana.
Hata ingekuwa siku za makonda akiwa wa moto ingebuniwa nafasi kama ile isingeleta shida.
Sasa huyu ndugu kapewa licheo kapewa liwizara pasua kichwa namna hiyo najiuliza huyu mbaba wa watu si wanamuonea tu!?
Akili za kufeli form four na kwenda kusoma certificate!Wasukuma wana akili sana, Rais Samia ameliona hilo.
Makonda kama kweli anakubarika kwao,kwanini alikimbilia kugombea ubunge Kigamboni?Biteko Hana ushawishi Kanda ya ziwa kumshinda Paulo makonda
Uongo mtupu utamdanganya Nani wewe DB ni sukuma gang, na hii imelenga kuwa-wing wasukumaNakumegea Siri.
Huyu DB ana uhusiano Mkubwa sana na Msoga, uhusiano wa ndani sana. Umejikita kwenye mambo mengi, maeneo ya madini, ushawishi kanda ya Ziwa,
DB amekuwa na mawasiliano na vikao vingi sana na Msoga. Shortly ni handler wao kwenye mambo mengi. 2025 ndio Makamu wa Rais. Na mengine yatatokeo pale katikati ya 2025_26.
Lkn pia ukiachana na huo UKWELI, kuna conspiracy nyingine kuwa anapenyezwa na vijana wa PK wenye ushawishi ndani ya TZ. Hili linapata nguvu kutokana na asili yake na closer contact alizonazo hasa akiwa Jimboni na Mza.
Kwa sasa ndio mawaziri wenye ushawishi sana kwa kundi la Walimu ambao ndio watakao simamia uchaguzi 2025. Kuanzia March 2024 hawa walimu wataanza kupewa seminar nyingi nyingi za kuwaweka sawa.
Ukisikia Waziri wa TAMISEMI anasema hakuna kijiji kitaenda upinzani ni kuvuja tu kwa mkakati.
Sababu yakulya ndelo nuluki?Wasukuma wana akili sana, Rais Samia ameliona hilo.