Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

Kustahmili na kutumia busara kwenye kila jambo..
 
Hahaha nani afe na presha akhuu
Mi na wewe tumetoka mbali,,,nitakufanya malkia chin ya mbingu na juu ya ardhi,hitajuta maisha yako yte yaliyobaki duniani.[emoji16] [emoji16] [emoji16] ,
 
Mi na wewe tumetoka mbali,,,nitakufanya malkia chin ya mbingu na juu ya ardhi,hitajuta maisha yako yte yaliyobaki duniani.[emoji16] [emoji16] [emoji16] ,
mwanzo umeanza vzr sana ila unaonekana uko week sana kwa wanawake una udhaifu mkubwa sana mkuu uyo binti apo kaongea tuu kawaida ila sidhani kama kamanisha ila ww ushaingiwa na tamaa ya uzinzi dah ila badhi yetu cc wanaume tunazingua sana sametimes mkeo anaonekana anashida sana japo apa unajipamba tuu ww unaonekana unatamaa sana na watoto wa kike lizika na uliye naye mkuu acha tamaa...
 
Uzur ni mtani wngu na anajua kwamba ni mtani.
 
Wala hakuna nilichojipamba,maana binadamu hatuoni vitu jinsi vilivyo bali sisi tulivyo. Nijipambe ili nipate nn mfano,ninaish kwa kanuni nilizozichagua na zinazoniongoza...

Kukusaidia ni kwamba nimeifanya akili yangu iuongoze mwili,ila katu mwili wngu hauwez ongoza akili yangu.
 
Ili tulee mtoto coz bado mdogo
 
Ccm tena,,, anyway ni kwa sababu ya tishet na kofia na madira ya bure
 
Umemnukuu vibaya mkuu,hyu mtani wangu namfaham vilivyo na wifi yangu namfaham kwa hyo toa shaka hajanitamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…