Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

upendo, pesa, kujali, kuchukuliana na kuhakikisha unatafuta vitu hivi kwa bidii furaha, amani na upendo ooh mtadumu tu
 
Ni kuvumilia tu.maana hivi viumbe kila siku malalamilo tu
 
Kuna wakati inabidi ujifanye tu mbulula
 
Binafsi nasikitika kwa sababu mahusiano yangu mazuri ambayo niliamini yananipeleka kwenye ndoa yanaelekea kuvunjika

Pole sana yakabidhi mikononi mwa mwenyezi mungu atayanusuru! Swali sana na pia mshirikishe mwenza wako kwenye maombi kila mwanzo na mwisho wa siku husika nna imani yatachipua tena na kusahua matatizo yoote!
 
Kujifanya mpumbavu kupita kiasi ndio kigezo kikubwa kinachonisaidia

Mmh ila inaonekana hyo kuwa mpumbavu kupita kiasi sio choice yako maana ulivoandika mkuu hahha sema utafanyaje ndo ushapenda uyo ni chaguo lako!
 
Mmh ila inaonekana hyo kuwa mpumbavu kupita kiasi sio choice yako maana ulivoandika mkuu hahha sema utafanyaje ndo ushapenda uyo ni chaguo lako!
Ndio hivyo nampenda na kumuacha siwezi ni bora niwe mpumbavu tuu nipate amani ya moyo maisha yasonge.
 
Pole sana yakabidhi mikononi mwa mwenyezi mungu atayanusuru! Swali sana na pia mshirikishe mwenza wako kwenye maombi kila mwanzo na mwisho wa siku husika nna imani yatachipua tena na kusahua matatizo yoote!
Amina sana mkuu naamini yatakaa sawa hata tunapoongea wote tunacheka na kufurahi kana kwamba hakuna tatizo but deep down we have lots of tears only God knows n we know how hard it is anyway we will get there i hope
 
Mimi nakuwaga na huyu baboon wangu on and off kwa kipindi na kipindi. Kinachotufanya tukumbukane au kurudiana ni tabasamu la Kasie.. .. hajawahi niambia ila huwa analimisi tabasamu langu maana huwa namsoma lugha ya macho.

Kasie and her baboon.
 
REAL LOVE sum it all. Plus, tume-click!!
 
Nimeamua kujishusha na kumfanya awe 1st kwa kila kitu na 2naenda sawa kabisa...mpaka naona nayy sometimes anaiga mtindo wangu
 
Mshikamano kwenye shida na raha...mazuri na mabaya... Kwenye fujo na amani...
Na
Ushirikiano uliyotukuka kwenye mambo ya kikubwa...
Kutokuwa bahili kwa mwenza wako...

Cc: mahondaw
 
Mkuu namba tano itakukucost one day.

Namba saba ngumu kumeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…