Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

Yaan mkuu unashindwa kupika kwa ajil yako na mkeo?? Duuu bas nakubali mm ni bushoke sana,sasa nikirud saa moja jion yy akirud saa mbili nisubiri?? Sawa mazingira ytu ya kazi yy yupo mbali sana tofaut na mm so nisipike kisa mm mume?
 
Be yourself my dear, wengine wanaishi kwenye ndoa ili kuiplease jamii. Kumsaidia mkeo kuna tatizo gani? Washazoea kutreat wake zao kama watumwa wao ndo maana wanakushagaa maana wao walicrame kuwa kupika ni limbwata. Mwaego endelea kudumisha ndoa yako, Ndoa ni yako na mkeo sio yako na jamii. Mnaoenjoy ni nyie, wanaokereka ni wao. Nawapenda wanaume wenye ufahamu, upendo na huruma kama wewe, mzidi kuongezeka tu jamani
 
Mkuu namba tano itakukucost one day.

Namba saba ngumu kumeza
Hujanijua vzr,nina maamuz ambayo hua yanawashangaza weng na ninayaish,hua naanzaga kiunafiki mwisho nakolea kabsa kama tabia,,nikiamin nachoamin kwa manufaa yangu hata watu wote dunian wapingane na mm sitabadilika,nitakisimamia na kukitetea,,huu ni mfano halis kua mambo ya tv nilishatoaga sebulen zaman .

Mwanzo ilinitesa lakin leo mwaka wa tano nmezoea,so kipi kigumu kisichouma?
 
Ameeen heaven Sent
 
Mshikamano kwenye shida na raha...mazuri na mabaya... Kwenye fujo na amani...
Na
Ushirikiano uliyotukuka kwenye mambo ya kikubwa...
Kutokuwa bahili kwa mwenza wako...

Cc: mahondaw

OMG! I like that..

Yeah so many things as you said teh eti kwenye fujo tihtih Wee Smart911 wangu weewwee!!
 
Safi sana
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu, mimi sijui hata sababu ni nini! Najiona ni kama Watanzania tunavyoichagua CCM pamoja na mabalaa yake yote
 
Mh!hiyo namba7
 
Mkuu namba tano itakukucost one day.

Namba saba ngumu kumeza

Itatucost wengi maana na mie ukinikuta home napika vibaya sana.

Mbaya zaidi nimeoa mke ambaye namjua vizuri, kazi ya kufua haipendi kama mimi mwenyewe so hata kufua huwa nafua mpaka nguo za mke wangu na wanangu.
 
Ngumu ee?? hapana rahis tu ukiamua ndugu,ila yataka moyo vile vile
Jaman ninavyopenda muvi,muziki,kwaya,taarifa za habari na matukio mbali mbali bila kusahau katuni..Daaah!nadhan ningezidi kuwa mwembamba;ila nimependa na kikubwa siku zote ni makubaliano na maelewano
 
Itatucost wengi maana na mie ukinikuta home napika vibaya sana.

Mbaya zaidi nimeoa mke ambaye namjua vizuri, kazi ya kufua haipendi kama mimi mwenyewe so hata kufua huwa nafua mpaka nguo za mke wangu na wanangu.
Unafahamu ubaya wa wanaume walio wengi wanadhani ukimsaidia mke/mchumba wako kufanya shughuli za ndani mojawapo kupika basi mwanamke atakuwa na kiburi la hasha!

Ila mwanamke alie mpumbavu ndo atakuwa na kiburi ila kwa anaejitambua lazima ataheshimu na kupenda kile mwanaume wake anachokifanya.Binafsi napenda sana mume wangu akinipikia yan hicho chakula nakienjoy mnoooooo
 
Jaman ninavyopenda muvi,muziki,kwaya,taarifa za habari na matukio mbali mbali bila kusahau katuni..Daaah!nadhan ningezidi kuwa mwembamba;ila nimependa na kikubwa siku zote ni makubaliano na maelewano
Hata sisi ni wapenz wa movie sana. Ila tumezoea na wala hatuwi bored.. Nikiwa kazin naweza chek movie kwa pc,na yy pia nadhan anachek kwa pc yke kazin. Unajua habar nying tunazipata kwa net,hasa kwenye smartphones,so sijui kipi nitakachoangalia kwa kwel kwa tv kwa sasa. Ilikua ngumu hasa kwa watoto ambao wanakua lakin nmewatengenezea games zao,na catoon zao wanaenjoy tu
 
Hapo sawa maana hivi hivi2 ingehitaji maji mengi sana kumeza[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…