Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

Mi hua nafurahi na napenda nimfanyie vitu mke wngu ambavyo vitafanya azid kunipenda,ajue kua kapata mume sio mwanaume,nataka wanangu waone nayofanya na wajifunze kdgo kdgo kama mm nilivyojifunza mpka leo hii,

Nakua na furaha mke akinifurahia kwa kila kitu nachofanya,nikim bore ni rahis kusamehe na kusahau,binadam hatujui kesho lakin ikitokea mm sipo au nmetangulia mbele ya haki anisemee mema kwa watoto sio aseme afadhal nmeondoka sasa atapumzika.

Maisha kuish ni wewe kuamua na kuchagua aina gan unayataka,kama mmeiingiza akilini kwamba maisha hayana furaha bila kua na vingi ambavyo pesa inaweza kununua wengi mtafeli. Sio kwamba hatutofautiani lakin ukijifunza kupuuza maudhi walaaa unajionea mukideeee tu
 
Mimi nikwasababu ndoa zetu ni za kufa na kuzikana lakini ingekua niile ndoa ya upande wapili ningekua nishapiga chini kitambo mamamae!
Upande wa pili wanapigana chini na kuoana kila siku..Mchezo umekuwa hivyo pambana2 na hali yako
 
Mimi nikwasababu ndoa zetu ni za kufa na kuzikana lakini ingekua niile ndoa ya upande wapili ningekua nishapiga chini kitambo mamamae!
Duuuh usifikirie kupiga chini maana unaweza kuitengeneza na ukasahau ndugu machungu yte. Ila kama inakupa hofu na mashaka kila mara usiangalie ni ya kufa na kuzikana unajitenga tu kwa muda kujipima uache au uendelee
 
Upande wa pili wanapigana chini na kuoana kila siku..Mchezo umekuwa hivyo pambana2 na hali yako

Napambana sana mkuu ila hawa dada zetu baadhi yao nipasua kichwa akiwemo nahuyu mama watoto wangu ila ninacho shukuru nikwamba yeye nimama bora sana kwa watoto wangu ila tu kwangu mumewe ndio ziro mpaka wakati mwingine najiuliza au aliwahi kuwa beki tatu miaka ya nyuma maana malezi ya watoto anayamudu vilivyo
 
Hahahahaha umeifanya asubuh yangu kuwa poa.Ila pengine we ndo ulianza kumvuruga mpaka akawa kichwa ngumu
 
Duuuh usifikirie kupiga chini maana unaweza kuitengeneza na ukasahau ndugu machungu yte. Ila kama inakupa hofu na mashaka kila mara usiangalie ni ya kufa na kuzikana unajitenga tu kwa muda kujipima uache au uendelee

Nilishakubali kukomaa nae maana nimama aliye bora kwa watoto wangu alio wazaa na alio wakuta hivyo nahofia nikimpiga chini naweza jikuta nikaangukia pua wanangu wakateseka
 
Yalishavunjika sasa natafta
Mwingne nione kama
Mungu atatufkishia panapostahili
 
Chikira mtabari... hivi mpaka niwe verified user kama wewe ni mpaka nisafiri toka Namanyere hadi Dar au nifanyeje, niambie please....😉 🙄
M PM Invisible mwambie unataka kuweka jina lako kamili, pia utume na vithibitisho (nakal) mfano kitambulisho cha kura
 
Yaan mkuu unashindwa kupika kwa ajil yako na mkeo?? Duuu bas nakubali mm ni bushoke sana,sasa nikirud saa moja jion yy akirud saa mbili nisubiri?? Sawa mazingira ytu ya kazi yy yupo mbali sana tofaut na mm so nisipike kisa mm mume?
Cjui n kwann badh ya wanaume
Wanakimbia hii issues ya kupka

Yan nashindwaje kuingia jikon
Kwa ajili ya mm na mke wang hata kama
Tuna watoto watoto n wang nashindwaje
Kuwapkia,hu co ubushoe aisee
Bali n kujali tu family yako

Kwn sku mkeo akiumwa utaenda
Kumuita jiran au ndugu aje
Akupkie
 
Nashangaaa sana tena na nazi kabisa nakuna,kwa nn nione aibu au nishindwe kitu kdgo hivii?
 
OMG! I like that..

Yeah so many things as you said teh eti kwenye fujo tihtih Wee Smart911 wangu weewwee!!
mahondaw wangu... Cha kwangu cha kwako, cha kwako cha kwangu... Tupo pamoja kwenye hali yoyote kama kidole na pete...

mahondaw wangu... Nachotaka maishani mwangu, nakutakia na wewe mahondaw wangu... Tunagombana tunapata, tunaangalia ya mbele, hatukumbushiagi yaliyopita...

mahondaw wangu.. Majungu sijali, wakichonga sisi tunasanga mbele...
 
Nakupa hongera mkuu hakika ni muongozo mzuri
 
Kumpenda na kumjali sana
Kumpa good sex, kila anapohitaji
Kumpikia, nipike mimi sio mtu mwingine
kuwa mama wa familia namaanisha mama kweli (ni mama kwa mme na watoto, mme nae kama mtoto wangu tu, unajua vile mama akiwa home kila kitu kinakua sawa)
Kukubali tofauti (unywaji wake sio kero kwangu ila tu iwe na kiwango, badala ya kununa akinywa, akiwa idle namnunulia kabisa (namfurahisha)
Kuepuka vi ugonvi visivo na kichwa wala miguu (kukaa kimya, kujishusha)
Kujiweka fresh, msafi sijiachii mwili mwili kitambi hata kuzaa sio sababu ya kufuga kitambi
Na vingine vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…