Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

Bei ya mafuta kupanda tena.kwa sababu kuu 2. Moja ni climate activism,
sababu ya Pili nchi zinazotua mafuta kwa wengi kupunguza mavuno ya oli
 
Wale jamaa wa Kigamboni hawazalishi, ndo maana bei imepanda.

Tumwombe mkuu wa Wilaya awaache jamaa wapige kazi tupate mafuta.
 
Hivi kwa nini Serekali linapokuja swala la manunuzi lazima awepe dalali!? Kwa nini wasiende wenyewe direct kwa mzalishaji Mkuu,wakaa mezani nae!!
 
Na bado itapanda nchi ipo kwenye mikono ya wapigaji mitama.
 
Bei za Mafuta zitapanda kwani wenye Mafuta wameamua kupunguza uzalishaji ili Mafuta ipande.
Lakini wanapata dhambi,wakumbuke Mafuta ni Rasilimali ya Dunia nzima,wote tuna haki nayo japo wanatuuzia! Mungu alitoa Rasilimali nyingi sana kwa Wanadaamu,na zingine bado hatujazigundua,lakini zipo,labda new generation nao watakuja gundua Rasilimali mpya za Dunia!!
 
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi . Serikali isipo angali Jambo hili tunaelekea kusiko julikana .
Magufuli alipaisha bei ya sukari na mafuta ya kula ambavyo hutumiwa na watu wengi akumbukwe kwa lipi.
Petrol na diesel?

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…