Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Unao uhakika? Mbona yadi yao imefungwa siku nyingi na hivyo vipande viwili vya zege ni vya siku nyingi, kimoja Kizuiani na kingine Zakhiem.NISHAPITA MKUU ILA KUNA KIPANDE KATI YA ZAKHIEM NA KIZUIANI WAMEANZA KUTANDAZA ZEGE MKUU.NA HADI MUDA HUU NIMEPITA WATU WANAFANYA KAZI
Mvua ni nyingi sana imekuwa ikibomoa madaraja na miundombinu iliyojengwa na kinachosubiriwa ni mvua isimame.
Wiki iliyopita kamati ya CCM iliyokagua mradi huo ilisifu maendeleo ya kazi ya ujenzi japo walikusanya watu wachache waonekane wakijenga!
Tunaomba picha mkuu, mimi ni mtumiaji wa barabara hio naona ujenzi umesimama
NISHAPITA MKUU ILA KUNA KIPANDE KATI YA ZAKHIEM NA KIZUIANI WAMEANZA KUTANDAZA ZEGE MKUU.NA HADI MUDA HUU NIMEPITA WATU WANAFANYA KAZI
Hata kunipa hi lolHuwa naishia uhasibu
AISEE ujinga mzigo hiyo ni barabara ya mwendokasi sio ya magari ya kawaida!! Wewe kweli mkazi wa mbagala.Ingekuwa kimara au mikocheni au mbezi uelewa wao uko juu wanaelewa tofauti ya barabara ya kawaida na mwendokasi ,Lakini mwenzangu wewe wa mbagala mmmmmKwanini usinge anza na kipande mfano kutoka Mbagala mpaka pale Msikitini ili kwa kipindi hicho mnachosubiria mpunga utoke watu waanze kutumia kipande hicho kupunguza foleni.
Hivi mbagala mwendokasi ya nini? Wanaweza kuishi kiugumukiugumu!Ni muda sasa tokea Mkandarasi alipomaliza kuondoa udongo wa zamani na kuweka udongo mpya na kushindilia barabara hiyo lakini tokea waliposimama ni muda sasa.
Awali kulisikika kelele au maneno kwamba wamesimama kwa sababu ya mvua lakini wachunguzi wa mambo tumegundua sio mvua kwa maana tokea walipoanza ni muda mrefu na kuna kipindi mvua zilikata na mpaka hivi sasa mvua zimepungua sana na wakati mwingine hakuna.
Pia cha kujiuliza mbona miradi mingine ya barabara za sehemu zingine zinaendelea? Mbona Mradi wa treni nao unaendelea? Je huko hakuna mvua?
Material. Kwakweli nikipita pale Zakhem naona material yote yapo nondo zipo kokoto zipo cement zipo.Swali langu ni kipi kinachelewesha mradi kukamilika? Ni nani anachelewesha? Sasa cha kushangaza baadhi ya sehemu zingine zimenaanza au zimeshaharibika kutokana na magari bodaboda kupita maji kujaa.
Ushauri wangu kwa Mkandarasi siku nyingine ukipata mradi jitaidi kujenga kipande kutokana na mpunga uliotolewa na serikali Mfano kulikuwa kuna haja gani ya kushindilia baadhi ya sehemu kutoka Mbagala mpaka Kariakoo.
Kwanini usinge anza na kipande mfano kutoka Mbagala mpaka pale Msikitini ili kwa kipindi hicho mnachosubiria mpunga utoke watu waanze kutumia kipande hicho kupunguza foleni.
Hapo uhasibu?Hata kunipa hi lol
Acha roho mbaya mkuu,hata sisi ni binadamuHivi mbagala mwendokasi ya nini? Wanaweza kuishi kiugumukiugumu!
Barabara la zege hilo lina zaidi ya mwezi, na ni kisehemu kidogo tu, kama cha mita 50 Hapo zakhiem!! Ki ukweli mradi umesimama, cjui nini tatizoNIMEPITA SASA HIVI MKUU MAENEO HAYO, NAONA UJENZI UNAENDELEA VEMA WASHAANZA KUWEKA LILE BARABARA LA ZEGE KWA BAADHI YA VIPANDE.ANGALIA KWA UMAKINI WATU WANAENDELEA NA KAZI BAADHI YA VIPANDE
Yahh mana naona tunaelekea darajani woteHapo uhasibu?
AiseeYahh mana naona tunaelekea darajani wote
Huna utaalam na masuala ya ujenzi unaleta habari ya kufikirikaKwanini usinge anza na kipande mfano kutoka Mbagala mpaka pale Msikitini ili kwa kipindi hicho mnachosubiria mpunga utoke watu waanze kutumia kipande hicho kupunguza fole
Usisahau ss no donor kantriii na tunapasaa kutembea kifua mbereeeee
Sent using Jamii Forums mobile app