Kipi kimeukumba mradi wa barabara ya mabasi ya mwendokasi Mbagala?

Kipi kimeukumba mradi wa barabara ya mabasi ya mwendokasi Mbagala?

Huyo hata ukimuelewesha hawezi kukuelewa maana yupo koromitdje hajui habari za usafiri wa dar
Mbona hipo toka tulipopata rami, mtu anafika umbali wa km 80 kwa dk 45 na hiyo ni public transport, lkn wa Dar km 40 anafika baada ya masaa 3 hadi 4

In God we Trust
 
Huyo hata ukimuelewesha hawezi kukuelewa maana yupo koromitdje hajui habari za usafiri wa dar

In God we Trust
Yawezekana majiji niliyoenda duniani hutawahi fika mpaka ufe... Chunga kauli kijana.
 
NIMEPITA SASA HIVI MKUU MAENEO HAYO, NAONA UJENZI UNAENDELEA VEMA WASHAANZA KUWEKA LILE BARABARA LA ZEGE KWA BAADHI YA VIPANDE.ANGALIA KWA UMAKINI WATU WANAENDELEA NA KAZI BAADHI YA VIPANDE

Izo wanazo weka ni kipande kidogo sana ata mita 100 azijafika kuna tatizo kubwa mradi huu kaka nakwambia ivi unajua hawa wachina sio wale walijenga mwendo kasi ya mbezi Kivukoni walikua ni kampuni nyingine walivunapesa sana baada ya apo ndo wakapewa wachina hawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom