Kipi kimeukumba mradi wa barabara ya mabasi ya mwendokasi Mbagala?

Kipi kimeukumba mradi wa barabara ya mabasi ya mwendokasi Mbagala?

Hata ATC bado inasubiria vurugu ziishe south itaenda tu,tuvumilie tu utakamilika mradi
 
Ni kweli ujenzi umesimama ila nahisi ni masuala ya mikataba.Matokeo yake hata sehemu ambazo walikuwa wamejenga zimeanza kubomoka.Hizi infrastructures siyo za "Fulani" kama wengi wanavyowaza, ni zetu mimi na wewe.
 
Ni muda sasa tokea Mkandarasi alipomaliza kuondoa udongo wa zamani na kuweka udongo mpya na kushindilia barabara hiyo lakini tokea waliposimama ni muda sasa.

Awali kulisikika kelele au maneno kwamba wamesimama kwa sababu ya mvua lakini wachunguzi wa mambo tumegundua sio mvua kwa maana tokea walipoanza ni muda mrefu na kuna kipindi mvua zilikata na mpaka hivi sasa mvua zimepungua sana na wakati mwingine hakuna.

Pia cha kujiuliza mbona miradi mingine ya barabara za sehemu zingine zinaendelea? Mbona Mradi wa treni nao unaendelea? Je huko hakuna mvua?

Material. Kwakweli nikipita pale Zakhem naona material yote yapo nondo zipo kokoto zipo cement zipo.Swali langu ni kipi kinachelewesha mradi kukamilika? Ni nani anachelewesha? Sasa cha kushangaza baadhi ya sehemu zingine zimenaanza au zimeshaharibika kutokana na magari bodaboda kupita maji kujaa.

Ushauri wangu kwa Mkandarasi siku nyingine ukipata mradi jitaidi kujenga kipande kutokana na mpunga uliotolewa na serikali Mfano kulikuwa kuna haja gani ya kushindilia baadhi ya sehemu kutoka Mbagala mpaka Kariakoo.

Kwanini usinge anza na kipande mfano kutoka Mbagala mpaka pale Msikitini ili kwa kipindi hicho mnachosubiria mpunga utoke watu waanze kutumia kipande hicho kupunguza foleni.
Mmejawa mihemko
Mara yamwisho umepita lini!!
Kazi inaendelea kama kawaida
 
Hata ATC bado inasubiria vurugu ziishe south itaenda tu,tuvumilie tu utakamilika mradi
Kwa style hii ndio maana TCRA wameweka utaratibu wa laini moja kila mtandao naona ume double
 
Nipo sawa, mlipo kuwa mnajiapiza kuwa mtoto wa kike akipata mimba hatoruhusiwa kurudi shule mlimaanisha nini?
Mkuu upo sawa kweli??

Mbona watoto wa kike wanakwenda shule??

In God we Trust
 
Back
Top Bottom