NIMEPITA SASA HIVI MKUU MAENEO HAYO, NAONA UJENZI UNAENDELEA VEMA WASHAANZA KUWEKA LILE BARABARA LA ZEGE KWA BAADHI YA VIPANDE.ANGALIA KWA UMAKINI WATU WANAENDELEA NA KAZI BAADHI YA VIPANDE
Izo wanazo weka ni kipande kidogo sana ata mita 100 azijafika kuna tatizo kubwa mradi huu kaka nakwambia ivi unajua hawa wachina sio wale walijenga mwendo kasi ya mbezi Kivukoni walikua ni kampuni nyingine walivunapesa sana baada ya apo ndo wakapewa wachina hawa