Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

Ndugu zangu, kwanini wasafiri wengi hupendelea zaidi kukaa dirishani iwe kwenye basi ndege hata meli wakati wa safari?

Kuna watu wakikosa siti dirishani wapo tayari kuairisha safari.


View attachment 2623130
Bila siti ya dirishani sipandi gari yako.

-Uhuru wa kufungua na kufunga dirisha, -kuangalia mandhari ya nje live bila chenga,
-Kula upepo
-Kutema mate au kutupa kitu chochote
- kununua vitu. N.k
 
Ndugu zangu, kwanini wasafiri wengi hupendelea zaidi kukaa dirishani iwe kwenye basi ndege hata meli wakati wa safari?

Kuna watu wakikosa siti dirishani wapo tayari kuairisha safari.


View attachment 2623130
Zaman abiria wengi walikuwa wana shida ya kutapika sasa ikawa ni deal mnoo ili ikifika wakat wa kutapika iwe simple. Una fungua tu kioo una tapika

Pili,wasafir wengi hupendelea kununua vitu njian , sasa wanapenda mnoo kukaa dirishan.... Sasa mabadi ya sasa ivi me gi ni ya kisasa mfano Ally's Star basi ina mziki mnene , Ac njiq nzima basi kidogo kidogo watu wana badilika kimtazamo
 
Kwenye Usafiri wowote sijawahi kupenda Siti ya Dirishani...

Siyo gari,Boat au Ndege...

Kukaa Dirishani nitizame nje huwa naogopa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…