Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

Siti ya dirishani unavuta hewa safi, unanunua vitu njiani kwa uhuru bila kumkera abiria mwingine. Ukishikwa na kichefuchefu unatapikia nje. Ila ikitokea ajali inaanzia dirishani. All in all siti ya dishani ni nzuri
 
Mkuu vp unahii allergy
Awapi, huwa nashangazwa na wanaotapika eti kisa harufu ya petroli

Mimi nilikuwa na ndigu yangu ana gari ya mchuzi juu, so kuna time nilikuwa nanyonya wese kwenye kile kimrija na fresh tu
 
Kuna abiria wanaudhi Sana,,
Kila kituo atashuka chini,

Usipokuwa dirishani inakuwa ni usumbufu wa hali ya juu.

Siti ya dirishani unakuwa comfortable Sana.
 
Ukikaa dirishani mdada akakaa pembeni yako unaeza mfunika kichwa akalala mapajani hata akaomba Koni ukampa bila abiria wengine kujua[emoji38][emoji38]. Sema basi tu Bukoba mbali nyie

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom