Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

Kuhema,kuzungumza,kuona kutembea na kufikiri zote hizo ni kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu.Fikiri kidogo unafikiri ni kwa uwezo wako?
 
Kukusaidia kakupa akili ya kufanya mambo yako
 
Ata Adam alipewa bustan ailime na iatunze, wewe unataka upate Hela tu ,hujui ata huo uzima ni Mungu ndo amekupa, kuhusu kutibiwa na wahindi , unamaanisha Mungu hakukutibu
Ngoja uumwe Tena best
 
Kuhema,kuzungumza,kuona kutembea na kufikiri zote hizo ni kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu.Fikiri kidogo unafikiri ni kwa uwezo wako?
Nahema sababu nina nguvu, sababu nakula, je nisipofanya kazi nikapata pesa ya kula yeye atanisaidiaje?
 
Ata Adam alipewa bustan ailime na iatunze, wewe unataka upate Hela tu ,hujui ata huo uzima ni Mungu ndo amekupa, kuhusu kutibiwa na wahindi , unamaanisha Mungu hakukutibu
Ngoja uumwe Tena best
Mkuu niliugua sana, nikaomba Mungu hakunisaidia, mpaka wahindi

Je kwanini asingenitibu bure kimiujiza?
 
Mkuu niliugua sana, nikaomba Mungu hakunisaidia, mpaka wahindi

Je kwanini asingenitibu bure kimiujiza?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ukiwa na njaa unaomba Mungu au unatafuta chakula ule?

Unamuomba Mungu kwani yeye hajui unataka nini?
Yeye alishakupa kila kitu, yote kayaweka Duniani. Kazi kwako kuyatafuta unayoyapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…