Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

Ungesema kipi hasa kinakusumbua!! Uwezi jua Kuna ambao wamepitia ze same issue

1.. Dawa ya Kwanza ya wew kutoka kweny depression ni kusema kipi kinakutatiza
Mkuu ni maswala ya financial tu, japo ni mambo ya kawaida lakini nimegundua kuna muda mtu anaweza tamani asiishi tena kwenye ulimwengu huu.
 
upweke ni kitu mbaya sana na ni chanzo cha yote hayo gentleman.

vuta kitu ndani upate pumzi na uelekeo mpya wa maisha
 
Kugombana na machawa
 
Mkuu ni maswala ya financial tu, japo ni mambo ya kawaida lakini nimegundua kuna muda mtu anaweza tamani asiishi tena kwenye ulimwengu huu.
Mkuu, serous!! Pole sana... Japo kwa wengne Financial ni kawaida tuu!! Maan wengne wengi hata kupata chakula tu mtihani,! Na wanamshukuru Mungu..
Tafuta mtu unaemwamini zungumza nae!
Japo nashauri uweke hapa jukwaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…