Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Nani alishamtoa mwenza wake wakaendabali kidogo huko hotelini mkajifungia huko mkawasha mshumaa mkaweka wine pembeni hoteli yenye hadhi ya five star au hata middle class mkakaa huku siku moja au mbili aisehhhhhh hata kama penzi lilikufa miaka mitano nyuma pale litachipua na uganzi utapotea, mkifika huko mnakulanaa yani mnakesha kwa kifupi, mkichoka kuwa na big screen tv humo mnaangalia movie mpo watupu kama mlivyozaliwa, kwa ufupi penda kitu Mungu amekupa mpaka mmefika kanisani mkawachangishwa watu na harusi mkafunga iweje hakua katoka kwa Mungu, wanaume tuwe wabunifu maisha mafupi sana kuwa na stress za kipuzi, kula chombo Mungu kakupa kula vizuri mpaka udenda ukutoke
 
Si ndiyo maana lipo kwenye andiko maana shetani pia anajua weakness ya mwanadamu, anajua mgogoro wa ndoa unaanzia hapo na akipagusa hapo ni lazima ilete impact
 
Mjie usiku mnene na mhuduma wa bar na umwombe awapishe chumbani
 
usihangaike nae huyo yawezekana kuna mwanaume mwingine anamfua, we tafuta dem mwingine gonga huko ukirudi home salam uliza anaendeleaje vuta shuka lala, ahsubuh kazin Acha pesa mezan . Simple
 
unaingia tinda, hitwe, badoo huko watakwambia hela yako tuu
 
Wanaume wa huu Uzi 😂😂😂🙌🙌🙌
Ngoja Nile nishibe



Daah, yaani mke wangu mwenyewe kakubali yeye mwenyewe kuolewa nami akiwa na akili zake timamu, majukumu yake Kama mke wa mtu anayajua haki za ndoa anazijua alafu leo nifanye kazi ya kumtongoza upya kila siku yani mimi kila siku nifanye kazi ya kutongoza tu!!!?

Yaani nitoke kazini nimechoka niko ovyo kichwani kwa stress za kazi na mizinguo ya awamu ya 5 alafu nifike nyumbani nianze kazi nyingine ya kutongoza mke wangu wa ndoa!!?

Nasemajee kazi hiyo sifanyi we Kama unahisi huo uchi ndio silaha ya kunikomoa kisa tu unajua kuwa tukilala kwa bedi lazima tu mi Kama mwanaume nitakuwa na uhitaji basi ndo utumie nafasi hiyo kunikomesha, jua kwamba sijakuoa ili uje kunikomesha na kunitesa kihisia kwenye nyumba yangu mwenyewe.

We Kama una tatizo na mimi liseme tulimalize na sio huo upuuzi wa kuniwekea mgomo ukifanya hivyo tayari ushakosa sifa za kuwa mke wa mtu na hustahili kukaa na mume tena.

Mimi ukifanye hivo ujue kabisa tunaachana asubuhi tu mapema yani, sihangaiki kutafuta mchepuko wala nini nakuacha naoa mwingine usifikiri we ndo una uchi tu peke yako dunia nzima heboo!!!

Mkuu, yaani mke wangu kabisa hizo pesa za kukupeleka kwenye mahoteli huko eti kisa hutaki kunipa unyumba si ni bora nikampe mjomba wangu huko akafanye biashara ya kuku mara kumi.
Yani nitumie gharama zote hizo kisa mke wa ndoa kagoma kutoa utamu aah waapii!! Sifanyi hicho kitu ng'o.

Akisubutu kunifanyia hivo wallah atavuna anacho kipanda.
 
Tatizo ni nini mpaka mkeo akunyime unyumba? Ujue kuna tatizo hapo! Inawezekana unataka kufanya sex naye kila siku hata kwenye siku zake. Kuna nini hapo?
 
Kwahiyo unataka ufike akupanulie uingize tu si ndio? Nyie ndo mnatumia mate kulainisha k za wake zenu
 
Unajiita Msukuma halafu unanyimwa unyumba hujui cha kufanya ?

Wasukuma huwa hatunyimwi unyumba mkuu
 
Kwahiyo unataka ufike akupanulie uingize tu si ndio? Nyie ndo mnatumia mate kulainisha k za wake zenu
Hakuna kitu Cha namna hiyo kadada tusidanganyane hapa, hakuna mtu wa kutoka tu huko afikie kumvamia mtu mkewe hakuna kitu kama hicho na mapenzi ya namna hiyo hayapo.
Unataka kunambia kabla ya huo mgomo kila siku jamaa alikuwa anakuja nakuchomeka tu hadi mwanamke kafikia hatua ya kugoma??

Acheni kutaka kutumia miili yenu Kama silaha ya kutaka kumchapa mtu kihisia.

Mke Kama kaamua kugoma maana yake kwamba kadhamiria kufanye hivyo kwa akili zake timamu.

Kwanini umnyime, ok kakuudhi sawa sasa unadhani kumyima ndio suluhisho la tatizo kwa mumeo? Kama sio ujinga kumbe ni nini?
Kwanini usimueleze hicho alicho kuudhi ili muongee yaishe maisha yaendelee??
Yeye mbona hakukususia bado upo kwake na anakutunza kwa kila kitu Kama mke wake inamaana we ni malaika humkwazi hata kidogo au!!?
 
Hayo yote umfanyie mtu alievuta domo mpaka ukiwa unaingia ndani unakutana nalo getini,tena kwa saabu ya kifala tu,ukute una wiki na zaidi unajitahidi muongee.Ila wanawake wengine sometimes wanakuaga kama vitoto aisee
 
Acha kumwomba jifanye huna haja nae atakuomba yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…