inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ndege imetoka 2006,unadhani ilianza lini kusanifiwa Kama siyo 1990!?Etiee. Huo ubishi niliwasikia hata wa Houthis wakidai hivyo. Mtengenezaji ni Lockheed Martin's. Sasa ww nenda kamwambie ni makopo ya siku nyingi tu. Atakusikiliza, hanaga shida yule mzee.