Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile drone iliachwa na israel iingie tu ili israel ipate sababu ya kuishushia yemen kipondo kizito ndio kama ulivyoona kadrone kamepenya israel kakaua kamtu kamoja ila majibu ya israel huko yemen wanalia na sheli zao sasahivi wanapanga foleni maana mafuta yote yameunguzwaBy the way ile drone iliyo shusha kichapo tel aviv ilionekana na radar? Au zile iron dome ni makopo?
Kumbe Yemen ni nguzo ya muashoki!; Hadi bandari Yao wanayo itegemea kupigwa na makopo na kugeuzwa beyond economic repair?!😜😆😆😆😆Hakuna ndege isiyoonekana kwenye radar,f 35 siyo ndege ya kisasa,ni makopo ya siku nyingi tu
Wabongo bwana daah, kwa hiyo iliachwa tu? Hata hiyo f35 iliachwa tu ili waisrael wajifariji baada ya kupokea kichapo cha drones pale tel aviv.Ile drone iliachwa na israel iingie tu
Kinachonishangaza ni kwamba tokea myahudi asambaze kichapo si houthi wala Yemen wametekeleza ahadi ya kuifuta Tel avivWabongo bwana daah, kwa hiyo iliachwa tu? Hata hiyo f35 iliachwa tu ili waisrael wajifariji baada ya kupokea kichapo cha drones pale tel aviv.
Mkuu unapoteza muda hata kumjibu mtupu huyo.Zipelekwe Ukraine kufanya nini wakati 🇮🇱 anapambana na magaidi houth?!
Ila wafia dini mnachekesha kwa ubishi mnalichukulia poa taifa la nuklia israel siku akifanya Samson option dhidi ya nchi za hao magaidi wenu mfano kautoa kwa gaza bado mnamtegemea Allah aliyeiacha gaza imeteketezwaYaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.
========================
The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.
![]()
Operation 'Outstretched Arm' demonstrates Israel's F-35's stealth striking capabilities
Almost 30 years after Operation "Wooden Leg," Israel’s Air Force used advanced F-35s in a similar long-range attack on Yemen.www.jpost.com
![]()
Sasa Allah muweza wa yote si ndo radar yao kila wafanyalo wanabweka Allah Akbar hata ile drone idf waliiruhusu ipite ikaua mteule mmoja telaviv walibweka Allah akabarSAsa zimewapiga watu ambao hawana hata radar unasema hainajoneoana? Kwanini zisipelekwe Ukraine tuone ubora wake.?
By the way ile drone iliyo shusha kichapo tel aviv ilionekana na radar? Au zile iron dome ni makopo?
Msalimie zelensky muulize safari ya crimea imeishia wapi?
Houth amekula kichapo kitakatifu atathubutu ujinga mwingineYaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.
========================
The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.
![]()
Operation 'Outstretched Arm' demonstrates Israel's F-35's stealth striking capabilities
Almost 30 years after Operation "Wooden Leg," Israel’s Air Force used advanced F-35s in a similar long-range attack on Yemen.www.jpost.com
![]()
Said mmatumbi ambae hajui even stealth inafanyaje kazi na F-35 inatika kwenye formation gani na wakati ganiHakuna ndege isiyoonekana kwenye radar,f 35 siyo ndege ya kisasa,ni makopo ya siku nyingi tu