Kipigo cha F-35 za Israel husikika kama ndege zishajiondokea, hamna radar huzigundua

Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
Aisee huwa namkubali Benjamin Netanyahuu hacheki na kima linapokuja swala la usalama wa israel
 
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
SAsa zimewapiga watu ambao hawana hata radar unasema hainajoneoana? Kwanini zisipelekwe Ukraine tuone ubora wake.?

By the way ile drone iliyo shusha kichapo tel aviv ilionekana na radar? Au zile iron dome ni makopo?

Msalimie zelensky muulize safari ya crimea imeishia wapi?
 
Mayahudi walifanya reconnaissance na kujua stronghold zote za mhouthi na hezbollah.
Wamezitandika ghala zote na kudisable bandari hana pa kuanzia.
Nilitegemea awe ameshusha kichapo cha hatari sana kwa mayahudi so far, kinyume chake anaziomba nchi zingine kushare naye kichapo.
Hivi ile oparesheni ya pamoja ya Uingereza na Marekani walikuwa wanatania nadhani kwa maana Israel amepiga mara moja tuu lakini kishindo na maumivu yake siyo mchezo kabisa....
 
Wale walikua wanapapasa tu ikabidi myahudi aje kufunga kazi kabisa kwa kupiga kwenye Mshono. 😁😁

Kama mnanyojua Netanyahu huwa hacheki na magaidi.
 
Mimi ninampa "Shikamoo mzee Neta." Huwa anawaambia atakachofanya na kweli anatekeleza tena kwa weledi wa kiwango cha juu kabisa.
Namkubali sana Netanyahu na cabinet yake ya ulinzi. Wakitoa dozi wanahakikisha mpaka mgonjwa anapona.

Hawana shughuli ndogo
 
SAsa zimewapiga watu ambao hawana hata radar unasema hainajoneoana? Kwanini zisipelekwe Ukraine tuone ubora wake.?

By the way ile drone iliyo shusha kichapo tel aviv ilionekana na radar? Au zile iron dome ni makopo?

Msalimie zelensky muulize safari ya crimea imeishia wapi?
Ila wavaa Kobazi mnajua kulalamika.

Mkifanya ujinga mnavimba, mkila kipigo mnalalamika mnaoweza 😅 😅 😅

Yaani mtu kama wewe unakaa unategemea makubwa kwa mateja, labda kama mwehu

Tafuta video yoyote inayohusu Yemen usioona mtu ana mirungi natoka JamiiForums
 
Ni hatari sana Israel anapiga kaskazini kusini mashariki na magharibi.
Muda si mrefu utasikia pray for Yemen.
 
Hakuna mataifa sita na hawakupigana kihivyo ni mfalme wa morocco alitoa siri kwa israel wakawahiwa, ukitaka kuona hawa mazayuni weupe hadi leo wameshindwa kukomboa mateka pamoja na kusaidiwa kila aina ya vifaa na magharibi
Nini kilitokea 2006 walivyopambana jeshi kwa jeshi na hezbollah? Si waliambulia aibu tu hapo ndio wanasaidiwa na marekani , wangekuwa wenyewe hawa hakuna kitu wanaweza zaidi ya propaganda
Vita haipiganwi uwanjani we kijana. Uwanjan watu wanaenda kumalizia kilichopangwa nje ya uwanja.Jew's wana wayahud nchi karibu zote za kiarabu na wanawayahud kwenye korido za maamuz kwenye nchi zote nene so wakati wewe unaona ni msaada wenzio walishatanguliza watu wao huko miaka mingi kwenye mifumo yote muhim so wakat unafikir unapigana na Israel unajikuta unapigana na waarabu wenzio au wazungu coz mwenzio alishakuwahi. Na usisahau Israel anapigana vita ya jihad akishindwa vita ni taifa linafutika so vita yake ni lazima ashinde ndio maana yupo hadi leo. Angekuwa ameshindwa usingeona taifa pale.
 
Zama hizi mambo ya kufut taifa hakuna mkuu kwani kuna sheria nyingi za kimataifa zinazolinda mambo kama hayo yasitokee karne hizi ndio maana unaona bwana netanyahu anavyohangaika na icc na icj, usipoenda sawa na jumuia ya kimataifa utajikuta umetengwa au watu wako wanashindwa kuwa huru kwenye movement zao, au hujui kwanini marekani anahangaikia normalization ya israel na nchi za kiarabu?
unajua tabu waisrael wanayoipata wakienda kushiriki matamasha au michezo ya kimataifa?
Olympic soon inafanyika france ,unajua vuguvugu linaloendelea huko watu wamejipanga kuwazomea na kuwanyima ushirikiano wanamichezo wa israel,
Cheki news hapo wanavyoteseka , kwao vita wakienda nchi nyingine wanawindwa kama kuku sasa ndio maisha gani hayo
 
Attachments

  • Screenshot_20240722-231227_Chrome.jpg
    Screenshot_20240722-231227_Chrome.jpg
    315.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240722-231132_Chrome.jpg
    Screenshot_20240722-231132_Chrome.jpg
    402.5 KB · Views: 2
Zama hizi mambo ya kufut taifa hakuna mkuu kwani kuna sheria nyingi za kimataifa zinazolinda mambo kama hayo yasitokee karne hizi ndio maana unaona bwana netanyahu anavyohangaika na icc na icj, usipoenda sawa na jumuia ya kimataifa utajikuta umetengwa au watu wako wanashindwa kuwa huru kwenye movement zao, au hujui kwanini marekani anahangaikia normalization ya israel na nchi za kiarabu?
unajua tabu waisrael wanayoipata wakienda kushiriki matamasha au michezo ya kimataifa?
Olympic soon inafanyika france ,unajua vuguvugu linaloendelea huko watu wamejipanga kuwazomea na kuwanyima ushirikiano wanamichezo wa israel,
Cheki news hapo wanavyoteseka , kwao vita wakienda nchi nyingine wanawindwa kama kuku sasa ndio maisha gani hayo
Waisrael wanateseka? Mzee usidanganywe na Media uchwara za propaganda nenda kwao ndio utajua mateso yao. Hiv unajua waisrael %80 wana uraia pacha. Dunia inaendeshwa kutoka gizan Chief sio kutoka live kama unavyoiona. Kile unachofikiria ndivyo kilivyo wapo wenye dunia yao washapanga siku nyingi jins itakavyokuwa. Sheria Israel kashavunja ngapi na amefanywa nini mpaka sasa.
 
Hizo media zilizoreport ni za kwao mzee jerusalem post na times of israel, it seems hata international news hufuatilii ndio maana huelewi nini kinachoendelea duniani
 
Bro hujui jins lugha ya picha inavyosemwa.
 
SAsa zimewapiga watu ambao hawana hata radar unasema hainajoneoana? Kwanini zisipelekwe Ukraine tuone ubora wake.?

By the way ile drone iliyo shusha kichapo tel aviv ilionekana na radar? Au zile iron dome ni makopo?

Msalimie zelensky muulize safari ya crimea imeishia wapi?
Mambo ya Zelesky yanaingiaje hapa
 
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
Hivi mbona kipigo cha israel kwa wayemen kimeuma sana kuliko cha operation ya pamoja ya uingereza na marekani?
 
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
Banned 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom