Kipigo cha F-35 za Israel husikika kama ndege zishajiondokea, hamna radar huzigundua

By the way ile drone iliyo shusha kichapo tel aviv ilionekana na radar? Au zile iron dome ni makopo?
Ile drone iliachwa na israel iingie tu ili israel ipate sababu ya kuishushia yemen kipondo kizito ndio kama ulivyoona kadrone kamepenya israel kakaua kamtu kamoja ila majibu ya israel huko yemen wanalia na sheli zao sasahivi wanapanga foleni maana mafuta yote yameunguzwa
 
Wabongo bwana daah, kwa hiyo iliachwa tu? Hata hiyo f35 iliachwa tu ili waisrael wajifariji baada ya kupokea kichapo cha drones pale tel aviv.
Kinachonishangaza ni kwamba tokea myahudi asambaze kichapo si houthi wala Yemen wametekeleza ahadi ya kuifuta Tel aviv
 
Ila wafia dini mnachekesha kwa ubishi mnalichukulia poa taifa la nuklia israel siku akifanya Samson option dhidi ya nchi za hao magaidi wenu mfano kautoa kwa gaza bado mnamtegemea Allah aliyeiacha gaza imeteketezwa
 
Sasa Allah muweza wa yote si ndo radar yao kila wafanyalo wanabweka Allah Akbar hata ile drone idf waliiruhusu ipite ikaua mteule mmoja telaviv walibweka Allah akabar
 
Houth amekula kichapo kitakatifu atathubutu ujinga mwingine
 
Hakuna ndege isiyoonekana kwenye radar,f 35 siyo ndege ya kisasa,ni makopo ya siku nyingi tu
Said mmatumbi ambae hajui even stealth inafanyaje kazi na F-35 inatika kwenye formation gani na wakati gani

Bila technical details unakuwa umeandika taarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…