Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Ki Halima kina asili ya ukiherehere, yaani unakuta waliambiwa muondoke wao wakajifanya wanaenda kuwashawishi wajeda kitu ambacho jeshi huwa lina amri tu. Mwache akome ajifunze huyu bidada, na hapo wamfugulie mashitaka afungwe tena mbuyuyu mkubwa
 
Hizi mambo za Polisi kupiga raia in the name of kulinda amani au kuzuia vurugu tushazisikia sana, zishalalamikiwa sana na hakuna kinachobadilika, walimuua Akwilina watu wakasema wee, bado vinaendelea iko siku wananchi watajachukua sharia mikononi mwao…….Polisi wenyewe tunaishi nao mitaani, ni majirani zetu, watoto wao wanasoma na wenetu, wake zao wanashiriki vikoba nasi...…...iko siku.
 
Huwa wanarogwa kwanza ili Wawe robot watumiwe Na wanasiasa
 

Stress za maisha ya kuitumikia ccm isiyowalipa fadhila
 
Akitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.
Sio kauli bora nao ni sehemu ya jamii pia wazazi familia zao zinaishi mitaani pia wajiongeze wasiwe marobot toilet paper za ccm wanaishi Na jamii
 
Ni sehemu ya wasiojulikana trained for a special purpose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzaha mzaha ya namna hii kuna siku watamuua kiongozi mwenye ushawishi nchi inalipuka!

Nchi hii ya Tanzania? Kwa hawa raia wanaowaza kubet, singeli, vigodoro, harusi, birthday parties etc??
 
Ndo maana mafunzo na mazoezi yao yanahusisha nguvu... Yaani kicheche mmoja kashiba KANDE anakwenda kutikisa Geti LA Gereza..!!? Wallah alistahili kuzimishwa kabisa. Shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…