Kipigo Kikubwa Kwa Israel Mossad Spy HQ, Na ngome muhimu ya IDF Zimeshambuliwa

Bibi Tarabushi FaizaFoxy Baada ya Ayotollah Nasrallah kukabidhiwa bikra 72 Huko jongomeo, huyu pia yamkini kafuata 🤔
.....
 
Uislam ni mmoja tu.

Mimi ni Mkristo napenda utaratibu wa waislam kwa kuwa na msikiti mmoja wa madhehebu yote.

Sisi wakristo hatuwezi
Shia wanawapiga Suni hujui hilo kwani wanaovujisha siri kupeleka Israel huwajui ni akina nani Suni, kwa hio jichunguze
 
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amezitaka nchi zote za kiarabu kuungana Ili wamshughulikie Adui

Khamenei amesema Adui wa Waislam ni mmoja tu

BBC
 
Tatizo hadi sasa hakuna anayekubari kushindwa

kama utani WW3
Ngoja niweke utani kidogo japo sio mzuri maana Maisha ya wasio na hatia yanateketea bureeee.

WW3
Ikianza WAZAYUNI wa TZ VS HAMAS, HEZBOLLAH,HOUTH WA TZ uwanjani wakiongozwa na ni Faiza fox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…