Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
USA dunia ya kwanza, hata Iran anaitaambua kuwepo duniani, unadhani anatambua uwepo wetu third world shit hole countries!!!...thubuti yako... tumevuna tulipojiweka wenyewe kwa mikono yetu na viongozi wetu mufirisi.Iran inaitisha dunia ama anaitisha Israel na US? mbona huyu mzee anataka kutubebesha lawama ambazo hazituhusu
Sasa kwanini yeye aseme kwamba Iran inaitisha Dunia, na hali ya kuwa wengine hatujulikani, kuna mtu anaweza mtisha asiyemjuaUSA dunia ya kwanza, hata Iran anaitaambua kuwepo duniani, unadhani anatambua uwepo wetu third world shit hole countries!!!...thubuti yako... tumevuna tulipojiweka wenyewe kwa mikono yetu na viongozi wetu mufirisi.
Wakati mwingine muache uongo kila kitu lazima mseme uongo? Huko Vietnam 🇻🇳 ulienda naye wewe? Kweli wewe ni Makorokoro Bondeni!!Tangu lini Marekani akapigana vita peke yake?Marekani ni nchi isiyojiamini ndiyo maana kila vita lazima apate msaada.
Huko vietnam alikoenda peke yake alishinda au alikimbia na chupi mkononi?Wakati mwingine muache uongo kila kitu lazima mseme uongo? Huko Vietnam 🇻🇳 ulienda naye wewe? Kweli wewe ni Makorokoro Bondeni!!
Acha ujinga Uliuliza “Tangu lini Marekani alipigana vita peke yake? Nimekujibu tena unaanza kubwabwaja ovyo-ovyo kutafuta kichaka cha kujificha!! Acheni uongo mnaonaga ubaya gani kusema ukweli? Au kwa sababu dini yenu inawaruhusu?Huko vietnam alikoenda peke yake alishinda au alikimbia na chupi mkononi?
hiyo kolabo ya US na Israel ni maangamizi kwa Iran, itachakazwa kama ilivyotokea kwa Iraq, mpaka leo nchi imesambaratikaMazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
Mababu ushindi unatafutwa kwa namna yoyote. Vita vya kuoneshana MIMI mbabe nakuweza peke yangu wanaviweza masela wa Manzese.Tangu lini Marekani akapigana vita peke yake?Marekani ni nchi isiyojiamini ndiyo maana kila vita lazima apate msaada.
Ikitokea Trump akavamia Iran basi njoo unikate kichwa.Vita ya ICBM hakuna anayeitaka.Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
..kuna ubaya gani kufanya kolabo?Mababu ushindi unatafutwa kwa namna yoyote. Vita vya kuoneshana MIMI mbabe nakuweza peke yangu wanaviweza masela wa Manzese.
Huko wakigundua ili nikushinde nahitaji kuungana na mataifa 50 kukuchangia wewe mmoja wanafanya hivyo.
Wewe ndiyo uache ujinga wako,kwanini hutaki kuamini kama marekani hawezi pigana bila usaidizi?Wewe ndiyo unabwabwaja ovyo ndiyo maana kinywa chako kiko wazi.Acha ujinga Uliuliza “Tangu lini Marekani alipigana vita peke yake? Nimekujibu tena unaanza kubwabwaja ovyo-ovyo kutafuta kichaka cha kujificha!! Acheni uongo mnaonaga ubaya gani kusema ukweli? Au kwa sababu dini yenu inawaruhusu?
Ulianza wewe mwenyewe kuuliza Tangu lini marekani antenna vitani peke yake? Mimi nikakujibu Vietnam ulienda naye wewe?. Tatizo wewe umekaririshwa basi unabwabwaja tu hata vitu ambavyo viko wazi. Haya sasa niambie Huko Vietnam Marekani iliingia vitani ikiwa na nchi gani?Wewe ndiyo uache ujinga wako,kwanini hutaki kuamini kama marekani hawezi pigana bila usaidizi?Wewe ndiyo unabwabwaja ovyo ndiyo maana kinywa chako kiko wazi.
Alienda peke yake,je alishinda vita?Ulianza wewe mwenyewe kuuliza Tangu lini marekani antenna vitani peke yake? Mimi nikakujibu Vietnam ulienda naye wewe?. Tatizo wewe umekaririshwa basi unabwabwaja tu hata vitu ambavyo viko wazi. Haya sasa niambie Huko Vietnam Marekani iliingia vitani ikiwa na nchi gani?
.. alienda solo, na zaidi ilikuwa ni utalii na kufanya anasa pale SAIGON na Ho Chi Minh CityAlienda peke yake,je alishinda vita?