Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
hakuna taifa litaipiga iran,yote hayo ni mapropaganda
 
Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
Wakati netanyahu wanaahangaika na trump iran production of missle zinaendele na ametengewea kabia fungu laki 100,000 khorum na shaibar
 
Tangu lini Marekani akapigana vita peke yake?Marekani ni nchi isiyojiamini ndiyo maana kila vita lazima apate msaada.
Hakuna vita ukiona hivyo, Marekani hawezi vita vyake mwenyewe lazima asaidiwe sana tu. Israel kawekwa hapo na Marekani kwa Maslahi ya Marekani tu, na NATO ni kwa ajili ya Russia tu, kama USA angekuwa anamuweza Russia peke yake wala kusingekuwa na NATO.
 
Attachments

  • IMG_2403.jpeg
    IMG_2403.jpeg
    369.7 KB · Views: 24
Sasa kwanini yeye aseme kwamba Iran inaitisha Dunia, na hali ya kuwa wengine hatujulikani, kuna mtu anaweza mtisha asiyemjua
Mzee baba dunia imegawanyika sehemu tatu, Trump anapoiongelea China, Iran na Russia na Ukraine jua anazungumzia 1st world countries na sio sisi huku 3rd world countries tusiojitambua kwa uongozi wa kishenzi watu wanaojari matumbo yao na familia zao huku wakilindwa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha interest of the few are kept and well guarded wakipokea vinavyodondoka toka mezani na wananchi wakijihangaikia wakiwa hawana pa kushika wakidanganywa kwa miradi hewa na vitu vilivyocheap wakikenua meno.
Leo hii unaambiwa zilitengwa zaidi ya 70bil kwaajili ya matengenezo ya uwanja wa Mkapa, nini kilichotokea na hata miezi 3 haijafika? Leo hii unaambiwa barabara 3,3 toka Kimara -Chalinze mradi hauwezi kukamilika na hela zilishatengwa mabilioni kwa mabilioni, uliambiwa bwana la Nyerere likikamilika tutakuwa na umeme wa kutosha mpaka kuuza nje ila juzi tu umeambiwa hela itatengwa kununua umeme toka Ethipia via Kenya kusupply Kaskazini mwa Tanzania. Hii ndio kitu Trump akaziita nchi za kiafrika SHIT HOLE COUNTRIES. Nchi zisizokuwa na dila zisizoweza kujisimamia katika mambo ya msingi na raia hawajui haki zao wala misingi ya nchi yao. wanabaki kujipendekeza.
Kwahiyo sisi tutaachwa tugombane, tuuwane huju tukiwapigia magoti wao kwa vimisaada vidogo dogo nao wakiendelea kubeba rasilimali zetu kwa njia ya uwekezaji. Hii ndio dunia mkuu
 
Hivi huko mashuleni mnasoma nini siku hizi!? UJINGA ...?!
Ashakum Si matusi

Sasa kama hao US wanawapa misaada ya ARV, visima,elimu, ujenzi, kilimo, afya na hadi kuwajengea vyoo daily, iwapo atashambuliwa huoni nawe utapata shida,!,?
Ndio maana ya kutishia Dunia..
Ungekuwa unatishiwà ww mitano tena US aathiriki .
 
Hujui kwamba Iran anafadhili ugaidi dunia nzima?!
Kuhusu wafadhili wa ugaidi hamuwezi tudanganya, tayari siku nyingi tunamjua ni nani.. US ndio mfadhili wa magaidi kwa manufaa yake.
 
Hivi huko mashuleni mnasoma nini siku hizi!? UJINGA ...?!
Ashakum Si matusi

Sasa kama hao US wanawapa misaada ya ARV, visima,elimu, ujenzi, kilimo, afya na hadi kuwajengea vyoo daily, iwapo atashambuliwa huoni nawe utapata shida,!,?
Ndio maana ya kutishia Dunia..
Ungekuwa unatishiwà ww mitano tena US aathiriki .
Shuleni hatusomi huu ujinga ulioandika wewe.
Ashakum si matusi

Huyo Irani unahisi hana misaada ambayo anaitoa huku Afrika, Tanzania ikiwemo? Na yeye akipigwa huoni kwamba kuna athari pia? Huoni kwamba wote wanaitisha Dunia? Hasa huyo US
 
Mzee baba dunia imegawanyika sehemu tatu, Trump anapoiongelea China, Iran na Russia na Ukraine jua anazungumzia 1st world countries na sio sisi huku 3rd world countries tusiojitambua kwa uongozi wa kishenzi watu wanaojari matumbo yao na familia zao huku wakilindwa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha interest of the few are kept and well guarded wakipokea vinavyodondoka toka mezani na wananchi wakijihangaikia wakiwa hawana pa kushika wakidanganywa kwa miradi hewa na vitu vilivyocheap wakikenua meno.
Leo hii unaambiwa zilitengwa zaidi ya 70bil kwaajili ya matengenezo ya uwanja wa Mkapa, nini kilichotokea na hata miezi 3 haijafika? Leo hii unaambiwa barabara 3,3 toka Kimara -Chalinze mradi hauwezi kukamilika na hela zilishatengwa mabilioni kwa mabilioni, uliambiwa bwana la Nyerere likikamilika tutakuwa na umeme wa kutosha mpaka kuuza nje ila juzi tu umeambiwa hela itatengwa kununua umeme toka Ethipia via Kenya kusupply Kaskazini mwa Tanzania. Hii ndio kitu Trump akaziita nchi za kiafrika SHIT HOLE COUNTRIES. Nchi zisizokuwa na dila zisizoweza kujisimamia katika mambo ya msingi na raia hawajui haki zao wala misingi ya nchi yao. wanabaki kujipendekeza.
Kwahiyo sisi tutaachwa tugombane, tuuwane huju tukiwapigia magoti wao kwa vimisaada vidogo dogo nao wakiendelea kubeba rasilimali zetu kwa njia ya uwekezaji. Hii ndio dunia mkuu
Kwahiyo ni kwa namna gani Irani inaitisha Dunia??
 
Hayo mimi na wewe hatuyaoni ila kwa mujibu wa wanaojiona wana jicho pevu na kujiona ndio vinara wa dunia wanasema hivyo.
 
Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
Ila trump
 
Back
Top Bottom