DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
ka ISRAEL mbona huwa kana mtembelea Iran kama mchumba tu, na wanarudi bila hata scratch 😳Kwa nini hawezi kupigwa wakati Oct 26,2024 alipigwa?
ka ISRAEL mbona huwa kana mtembelea Iran kama mchumba tu, na wanarudi bila hata scratch 😳Kwa nini hawezi kupigwa wakati Oct 26,2024 alipigwa?
Kwaio US ndo anawafundisha magaidi kusema takbiil.... WanapouaKuhusu wafadhili wa ugaidi hamuwezi tudanganya, tayari siku nyingi tunamjua ni nani.. US ndio mfadhili wa magaidi kwa manufaa yake.
Netanyahu alikua na list ya nchi za kupiga na haachi mpk afanikishe hilo.Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
Marekani ipi ya kuitishia Iran? Hii iliyopigana Afghanistan miaka 20 wakashindwa vita wakakimbia au ipi?
hawa magaidi ni funded na nani???Kwaio US ndo anawafundisha magaidi kusema takbiil.... Wanapoua
Hivi msaada wa Iran na US unaweza kuweka mizani sawa.. !Shuleni hatusomi huu ujinga ulioandika wewe.
Ashakum si matusi
Huyo Irani unahisi hana misaada ambayo anaitoa huku Afrika, Tanzania ikiwemo? Na yeye akipigwa huoni kwamba kuna athari pia? Huoni kwamba wote wanaitisha Dunia? Hasa huyo US
Kaugane ndiyo wapi?Jifunze kuandika kwanza.Na wewe kaugane na iran mpambane na USA.
Hakuna uharo hapo,hiyo ndiyo hali halisi.Haya sasa kula huo UHARO ulioutoa jana!!
Huo ndiyo ukweli Mkuu,sema watu mapenzi yamewazidi hawataki kuamini.Hakuna vita ukiona hivyo, Marekani hawezi vita vyake mwenyewe lazima asaidiwe sana tu. Israel kawekwa hapo na Marekani kwa Maslahi ya Marekani tu, na NATO ni kwa ajili ya Russia tu, kama USA angekuwa anamuweza Russia peke yake wala kusingekuwa na NATO.
Hana nguvu ya kupigana na iran sasahivi,uchumi wake wa ndani unaelekea recession, hii vita yake na ulaya na china ni ya kipumbavu na inamfanya awe dhaifu bila ya ulaya kivita na kiuchumiMazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.