kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Kwanza ,kabla ya kuongea ungetakiwa kujua kwann Israel Iko mashariki yakati na inajina la israelTangu lini Marekani akapigana vita peke yake?Marekani ni nchi isiyojiamini ndiyo maana kila vita lazima apate msaada.
hakuna taifa litaipiga iran,yote hayo ni mapropagandaMazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
alipigwa wapi hizo ni propaganda tu,kama alipigwa why mpaka sasa wanasema ana mtambo wa niklianhukubwalidai ulipigwa?Kwa nini hawezi kupigwa wakati Oct 26,2024 alipigwa?
Wakati netanyahu wanaahangaika na trump iran production of missle zinaendele na ametengewea kabia fungu laki 100,000 khorum na shaibarMazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
Hoja ni kuwa Marekani hajawahi ingia vitani peke yake akashinda vitaKushinda au kutokushinda hiyo haikuwa hoja yako!!!,,
Hakuna vita ukiona hivyo, Marekani hawezi vita vyake mwenyewe lazima asaidiwe sana tu. Israel kawekwa hapo na Marekani kwa Maslahi ya Marekani tu, na NATO ni kwa ajili ya Russia tu, kama USA angekuwa anamuweza Russia peke yake wala kusingekuwa na NATO.Tangu lini Marekani akapigana vita peke yake?Marekani ni nchi isiyojiamini ndiyo maana kila vita lazima apate msaada.
Hujui kwamba Iran anafadhili ugaidi dunia nzima?!Iran inaitisha dunia ama anaitisha Israel na US? mbona huyu mzee anataka kutubebesha lawama ambazo hazituhusu
Mzee baba dunia imegawanyika sehemu tatu, Trump anapoiongelea China, Iran na Russia na Ukraine jua anazungumzia 1st world countries na sio sisi huku 3rd world countries tusiojitambua kwa uongozi wa kishenzi watu wanaojari matumbo yao na familia zao huku wakilindwa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha interest of the few are kept and well guarded wakipokea vinavyodondoka toka mezani na wananchi wakijihangaikia wakiwa hawana pa kushika wakidanganywa kwa miradi hewa na vitu vilivyocheap wakikenua meno.Sasa kwanini yeye aseme kwamba Iran inaitisha Dunia, na hali ya kuwa wengine hatujulikani, kuna mtu anaweza mtisha asiyemjua
Hivi huko mashuleni mnasoma nini siku hizi!? UJINGA ...?!Sasa kwanini yeye aseme kwamba Iran inaitisha Dunia, na hali ya kuwa wengine hatujulikani, kuna mtu anaweza mtisha asiyemjua
Kuhusu wafadhili wa ugaidi hamuwezi tudanganya, tayari siku nyingi tunamjua ni nani.. US ndio mfadhili wa magaidi kwa manufaa yake.Hujui kwamba Iran anafadhili ugaidi dunia nzima?!
Shuleni hatusomi huu ujinga ulioandika wewe.Hivi huko mashuleni mnasoma nini siku hizi!? UJINGA ...?!
Ashakum Si matusi
Sasa kama hao US wanawapa misaada ya ARV, visima,elimu, ujenzi, kilimo, afya na hadi kuwajengea vyoo daily, iwapo atashambuliwa huoni nawe utapata shida,!,?
Ndio maana ya kutishia Dunia..
Ungekuwa unatishiwà ww mitano tena US aathiriki .
Kwahiyo ni kwa namna gani Irani inaitisha Dunia??Mzee baba dunia imegawanyika sehemu tatu, Trump anapoiongelea China, Iran na Russia na Ukraine jua anazungumzia 1st world countries na sio sisi huku 3rd world countries tusiojitambua kwa uongozi wa kishenzi watu wanaojari matumbo yao na familia zao huku wakilindwa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha interest of the few are kept and well guarded wakipokea vinavyodondoka toka mezani na wananchi wakijihangaikia wakiwa hawana pa kushika wakidanganywa kwa miradi hewa na vitu vilivyocheap wakikenua meno.
Leo hii unaambiwa zilitengwa zaidi ya 70bil kwaajili ya matengenezo ya uwanja wa Mkapa, nini kilichotokea na hata miezi 3 haijafika? Leo hii unaambiwa barabara 3,3 toka Kimara -Chalinze mradi hauwezi kukamilika na hela zilishatengwa mabilioni kwa mabilioni, uliambiwa bwana la Nyerere likikamilika tutakuwa na umeme wa kutosha mpaka kuuza nje ila juzi tu umeambiwa hela itatengwa kununua umeme toka Ethipia via Kenya kusupply Kaskazini mwa Tanzania. Hii ndio kitu Trump akaziita nchi za kiafrika SHIT HOLE COUNTRIES. Nchi zisizokuwa na dila zisizoweza kujisimamia katika mambo ya msingi na raia hawajui haki zao wala misingi ya nchi yao. wanabaki kujipendekeza.
Kwahiyo sisi tutaachwa tugombane, tuuwane huju tukiwapigia magoti wao kwa vimisaada vidogo dogo nao wakiendelea kubeba rasilimali zetu kwa njia ya uwekezaji. Hii ndio dunia mkuu
Na wewe kaugane na iran mpambane na USA.Tangu lini Marekani akapigana vita peke yake?Marekani ni nchi isiyojiamini ndiyo maana kila vita lazima apate msaada.
Hayo mimi na wewe hatuyaoni ila kwa mujibu wa wanaojiona wana jicho pevu na kujiona ndio vinara wa dunia wanasema hivyo.Kwahiyo ni kwa namna gani Irani inaitisha Dunia??
Ila trumpMazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.