Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,063
- 1,050
Mbona ni rahisi tu,chama kisichoshiriki kinapeleka wagombea wa gelesha Kisha mwenye mikutano kinahamasisha no reforms no electionNi vyama vile ambavyo vitashiriki uchaguzi mkuu na kuwasilisha wagombea na ratiba za kampeni ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa. Hii itaondoa mvurugano na vurugu zisizo na msingi, na pia kuimarisha ulinzi na usalama
Wahuni wengine wasubiri kwanza watu wanaotumia haki yao ya kikatiba waitumie kikamilifu