Kipindi gani unakikumbuka kutoka Radio Free Africa (RFA) ya wakati huo

Social media imeondoa ladha ya haya mambo....
Sababu utamu ulikua upo kwenye kusubiri kipindi, ukipitwa umepita so unakua na shauku muda wote
Enzi hizo nlikuwa naanika betri Juani eti zijichaji😂ili kuhakikisha hamna kipindi kinanipita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…