Pale redio one Kila juma mosi jioni kulikuwa na Ngoma 20 Kali za bongo na Abdala Mwaypaya ABD, alikuwa anapenda kusemaa "ipi imetoka, ipi imepanda, ipi imeshuka, ipi imebaki pale pale". Sa sa hivi kipindi kimebadilishwa jina kinaitwa Bongo ten kinaendeshwa na mtangazaji wa capital radio Twali B.Ndio ndio mkuu ni tano za moto na zilikua moto si kitoto
R.I.P fredwaa pengo lako bado hawajaziba
kuna yule mzee wa Afro nini sijui alikuwa anatwanga kifaransa siku ya jumanne kuanzia saa nne usikuIle jingle ya Deokaji Makomba kwenye kipindi cha michezo Kila jumapili asubuhi "ni katika michezo na burudani"
Pale ÉA Radio kulikuwa na bongo flava top 20 na Jr junior/dulah planet/fredou mbunj/ Lesa said.Pale redio one Kila juma mosi jioni kulikuwa na Ngoma 20 Kali za bongo na Abdala Mwaypaya ABD, alikuwa anapenda kusemaa "ipi imetoka, ipi imepanda, ipi imeshuka, ipi imebaki pale pale". Sa sa hivi kipindi kimebadilishwa jina kinaitwa Bongo ten kinaendeshwa na mtangazaji wa capital radio Twali B.
RC ABD kazi njema huko uliko.
Yote kwa yote watangazaji wa BBC funga kazi Mzee.kuna yule mzee wa Afro nini sijui alikuwa anatwanga kifaransa siku ya jumanne kuanzia saa nne usiku
siku ya alhamisi unapigiwa flash back, usisahau kuna Amka na BBC asubh
Sidhani kama ni mke wa energy man.Kuna mwanadada alikuwa anaitwa Rahabu Fredy sijui ndio alikuwa mke wa Fredwaaa
Ipo ila imepoteza fahamu.Ivi hii redio ipo
Kipo, kuna siku nilikisikiliza kinaendeshwa na jamaa mmoja anajiita mlevi mwenye busara.Je huu ni ungwana? Hivi kipo mpaka sasa?
Hii redio imetimiza wajibu wake wa kuelimisha, kuburudisha na kuhamasiha kwa wakati wote.Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi mnakumbuka? Au ulikuwa ukikipenda?
Redio yoyote ikishaingia Chawa i akufa. Subiri uone ya Wasafi haimalizi miaka 10 itapotea.Ipo ila imepoteza fahamu.
Nakumbuka Redio free tukiwa tunasikiliza kwa Panasokic double decker sauti iko clear sana. Mchana unakuwa unakunjua Areal( Elia) jioni na usiku kinawakaaaaHiv kuna redio imewahi kufung minara n ikawa inasikika safi kma R.F.A Ya kipind hicho?
kweli kabisa mtoto wa mama sabuniNamkumbuka mtangazaji Glory Robinson mtoto wa mama Sabuni.Vipindi vyake vilikuwa moto sana.