Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Hata kufanikiwa tu inakua kazi kama unaishi eneo ambalo watu wa eneo hilo maisha yao ni duni

Ni vizuri kuishi kwenye maeneo yatakayokupa kiu ya kutafuta maendeleo zaidi kila siku sema ndio hivyo watu hawaelewi kabisa hii
 
Unajua thamani ya ardhi eneo la kurasini au chang'ombe waporipori mna shida mkiingia mjini mnajifanya mnajua zaidi ya wenyeji
 
Tembea Dar uijue vzr kuna maeneo Temeke iko vzr kuliko hata ununio na Tegeta.Nenda Kijichi,Tuangoma ,Mgeni nani.Tandika ni mji Mkongwe Toka Uhuru,usifananishe na Tegeta imejengwa juzi
Asisahau kutembelea kwa mpalange mkuu.
 
Mkuu mbona namtumbo pako bomba sana....
 
sawa
 
wilaya ya ubungo pia pio vizur ...
 

Na Airport haipo temeke?
 
Sijui mkuu ujanja unaouzungumzia wewe ni upi,Ujanja wa watu wa Dar huko ndiko ulikoanzia,Kariakoo,Temeke,Tandika,Ilala yote ndio kulikuwa na viwanja vya kujirusha vya hatari...
Watu wengi hawajui, wanachoandika, humu mitandaoni, mtu anajisifu ujanja, bila kujali nchi mzima inasoma anachoandika.

Lakini ukimuona live huyo anaejisivu ujanja, kwenye Simu kuliko watu wote, wanaishi wilaya temeke ni kituko hata chai asbuhi hanywi.
 
👏👏👏Bora hata umenitangulia kumjibu,sa anataka tukaishi kwenye uwanja,au ndani ya chuo? Hao ni wale wanaoona uzuri wa mji ni migorofa kumbe ni mipango na huduma bora tu
 
Ulofa ni kujivunia maendeleo ya watu, alafu mbele ya jamii, kujiona wewe uko juu, kuliko wengine wote wa aina fulani au wanaishi eneo fulani.

Ila ingekuwa ni jambo linalowezekana, wana jamii forums, tukodi bus, tutembeleane, makazi ya kila mmoja wapo, kuna wengine watapatwa na tumbo la kuhara.
 
Karibu Buza mkuu
 
Aiseeee !!!
 
Huna unalojua wewe. Acha kutia huruma toa facts.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]Bora hata umenitangulia kumjibu,sa anataka tukaishi kwenye uwanja,au ndani ya chuo? Hao ni wale wanaoona uzuri wa mji ni migorofa kumbe ni mipango na huduma bora tu
Labda seriali imempa ruhusa ya kuweka kitanda hapo uwanja wa taifa kwenye nyasi za uwanja analala bure.
 
Kila mtu huishi kulingana na uwezo wa kipato chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…