Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Hahaha issue imekuwa kuwahi kufika kariakoo hahaha


Soma lengo la mada sio kulialia. Hizo daladala zenyewe Hadi uje kuzipanda tayari inabidi uwe unabeba chuma kwa purukushani.

Huwezi kukuta Daladala za Bunju/Boko kwenda katikati ya mji watu wanazichapa kavukavu kugombania Daladala ila nenda Mbagala uone wanawake wanavyopita madirishani na juu ya roof ya zile Eicher kugombania siti.


Uswazi wa huko watu sio wastaarabu kabisa. Hata wewe unavyoandika hapa unaonekana kabisa ustaarabu ni zero ila sikulaumu ni mazingira yamekufanya hivyo.

Njoo hapa Makongo juu mkuu Toka huko uswahilini.Unajiona mjanja kula utumbo,vichwa na miguu ya kuku[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Nikisema watu wa Buza hamna akili mnasema tuna dharau Sasa wewe huwa unalala kwenye hicho kituo Cha afya.


Mmeambiwa hapa tunazungumzia miundombinu na maisha ya ujumla ya huko uswekeni wewe unaleta vituo vya afya Mara bandari.


Haya nendeni mkalale hapo sabasaba au uwanja wa taifa
 
Tegeta.

Bunju

Mbezi Beach

Mikocheni

Sinza

Kawe

Hivi na wewe unajisifia Uko Dar.
Hahahahhahahahahha....
 
watu wa Temeke tumeyapokea matusi yako . Bado tunasubiri na zamu ya wa mkoani ifike maana wengi wetu huku ni wanaume wa mkoani pia
 
Ilala sehemu inaitwa mchikichini unapajua au unapasikia
 
Tegeta.

Bunju

Mbezi Beach

Mikocheni

Sinza

Kawe

Hivi na wewe unajisifia Uko Dar.
Hahahahhahahahahha....
Hii ni Mbagala!


Sasa hapa una tofauti Gani na mtu alieko CHITOHOLI kwa wakina harmonize au Nanjilinji.


Yaani mtu unajikuta anaishi huku uswekeni anajiona Yuko Dar Es Salaam


Hamia hata Mji Mwema tukupe passport ya Dar huko mlipo ni nchi nyingine maana tukisema ni mikoani Hakuna mkoa wenye huo upuuzi. Naomba mjipe jina la mkoa wenu tumpelekee magufuli awape hadhi ya mkoa na muwe mnaingia Dar kwa passport.[emoji16]
 
Study zinaonesha mnaoishi huko Ushuani mnaongoza kwa kufa kwa msongo wa mawazo na mi shinikizo ya damu kuliko sie wa uswahilini

Maisha ni furaha ukiikosa hiyo hata uishi manhattan umeliwa
 
Ilala sehemu inaitwa mchikichini unapajua au unapasikia
 
Study zinaonesha mnaoishi huko Ushuani mnaongoza kwa kufa kwa msongo wa mawazo na mi shinikizo ya damu kuliko sie wa uswahilini

Maisha ni furaha ukiikosa hiyo hata uishi manhattan umeliwa
Study za nyoko
 
Kupitia hizo picha nionyeshe ulichokuwa unazumza,
Majitaka,Mafuriko na Mitaro kuziba.

Punguani.
Kukakaa kwa shemeji yako kuna kufanya kua msahaulifu.
 
Umesema kweli. Maeneo uliyoyasema hakna adha yoyote ya maji wala mitalo michafu. usafiri wa rahsi kutoka na kuingia kwao.
 
Sasa mbona unatabia zetu za ki Tandika za kutukana for nothing? Au ni mwenzetu wa Tandika Mbagala ila hujikubali?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 


Mazingira hayo ☝️ wilaya ya Temeke ni kawaida sana. Msitetee ujinga tmk ni mbovu karibia yote
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£βœ”οΈπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…