Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
hapo TCC ni kwere alooo.Hahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo TCC ni kwere alooo.Hahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.
Umeongea point mtu kazi, more money more problemsKulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.
Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.
Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.
Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeongea point mtu kazi, more money more problems
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ingawa hakuna asietaka mshahara mkubwa, suala la saving linabaki Kwa mtu binafsi.Umeongea point mtu kazi, more money more problems
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
It’s called money management.Kulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.
Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.
Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.
Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie 🤣🤣🤣
Hao wa kipato cha juu wengi wanakuwa wamejiaminisha kuwa wao wana uwezo wa kutengeneza pesa, hivyo na matumizi yao yanakuwa ya juu. Mpaka wanaanza kutumia pesa ambazo hawajazipata bado (mikopo, heavy credit card debt, etc.)It’s called money management.
The core principles of personal finances are: income, savings, spending, and investment.
Ukiishi ndani ya uwezo wako kulingana na kipato chako, halafu ukawa na nidhamu ya kujiwekea akiba hata kama ni kidogo kidogo, huku pia ukiwa na nidhamu katika matumizi yako, utajiweka katika nafasi nzuri [sana] kiuchumi.
Kuna mtu namjua anafanya kazi kwenye hizi payday loans places.
Huwa ananiambia kuwa baadhi ya watu ambao huenda kuchukua hizo payday loans, huwezi kuamini kazi zao!
Kuna mawakili, wahasibu, manesi, n.k., watu ambao kazi zao kwa wastani, ni za vipato vya juu, wanaenda kukopa huko.
Cha msingi zaidi, jinsi unavyozi manage hela zako kuliko kiasi ambacho unakipata.
Tumbaku ina siri gani? Ofkoz jamaa hata viwanda vyao viko vizuri kwa kuangalia tu. Ni kwamba tumbaku kuna mzigo sana au ile tu expert huyo ndio mana mzigo mnene? Kuna kampuni moja kubwa ya mitandao ya simu niliona board of directors wanavokula madolali ya kutosha sio poaaHahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.
Ndugu yangu analipwa M 9.5 take home hapo+bima kibaoHahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.
Toa ushahidi - Achana na porojo za vijiweniKuna wahindi wanajilipa mamilioni huko viwandani.
Kama ulikuwepo. Pengine alikuwa anadhani milioni 3 anayopata yuko kwenye class ya juu, kuja kuona wenye hizo milioni 20+, akajisikia mnyonge ghafla. Anachotakiwa kujua ni kuwa hata hiyo mil 20 anayodhani ni kubwa, siyo kitu kabisa, na kuna wanaopata nyingi zaidi. Bado huja-count wafanyabiashara wanaoingiza zaidi.Kwahiyo akikumbuka asifurahie? Watu maskini bwana, hapo unaumia kweli kweli mtu kulipwa milioni tano
Kitanzania, milioni bado yupo class ya juu kama unazungumzia mshahara na kipato halali.Kama ulikuwepo. Pengine alikuwa anadhani milioni 3 anayopata yuko kwenye class ya juu, kuja kuona wenye hizo milioni 20+, akajisikia mnyonge ghafla. Anachotakiwa kujua ni kuwa hata hiyo mil 20 anayodhani ni kubwa, siyo kitu kabisa, na kuna wanaopata nyingi zaidi. Bado huja-count wafanyabiashara wanaoingiza zaidi.
Ukishalipwa pesa ya madafu tu utemi wako unaishia Vingunguti.Kama ulikuwepo. Pengine alikuwa anadhani milioni 3 anayopata yuko kwenye class ya juu, kuja kuona wenye hizo milioni 20+, akajisikia mnyonge ghafla. Anachotakiwa kujua ni kuwa hata hiyo mil 20 anayodhani ni kubwa, siyo kitu kabisa, na kuna wanaopata nyingi zaidi. Bado huja-count wafanyabiashara wanaoingiza zaidi.
Dadeq, kuna watu wana mishahara balaa,Ndugu yangu analipwa M 9.5 take home hapo+bima kibao
Weka kichwani pia kuwa mshahara haujawahi kumtosha yeyote ktk upana wake!!Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
A trolling logical non sequitur.hatuwezi kuliangalia coz mungu hayupoo😁😁