Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

Kulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.

Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.

Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.

Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie 🤣🤣🤣
Kuna jamaa yangu analipwa 3.2 M pamoja na kodi hakosi 26 au 2.8 roughly, lakini yeye ndio mtu asiye na ela mfukoni au ndio mtu wakulialia kila siku, jinsi mshahara wake unvyoongezeka ndivyo matatizo yanavyo ongezeka kwake
 
kha... hawa mnaowataja ni watanzania au foreigner maana ukoo wangu jumlisha na mtaa au mitaa niliyokaa hadi umri huu sijawahi kusikia jirani au ndugu analamba mamilioni kama hayo zaidi ya wabunge na wanasiasa..

Mi wapo wawili nawajua wanalamba milion 20 bado allowance na mengine juuu 🫣
Mmoja boss wangu [emoji23]
 
Kuna jamaa yangu analipwa 3.2 M pamoja na kodi hakosi 26 au 2.8 roughly, lakini yeye ndio mtu asiye na ela mfukoni au ndio mtu wakulialia kila siku, jinsi mshahara wake unvyoongezeka ndivyo matatizo yanavyo ongezeka kwake
Mkuu,

Haya mambo mimi nishayaona kwa watu wa karibu hivyo naandika kutokana na uzoefu.

Kuna kipindi bosi wangu mmoja alipiga mingo ya nguvu, akala bata ile ya kimataifa, ila akawa hana savings. Madeni kibao, kila siku akawa analalamika anataka kumaliza madeni.

Halafu kipindi kingine akapata mingo nzuri lakini si kubwa kama ile ya kwanza, akaweza kuondoka kwenye madeni, kufanya savings na investments kubwa tu.
 
It’s called money management.

The core principles of personal finances are: income, savings, spending, and investment.

Ukiishi ndani ya uwezo wako kulingana na kipato chako, halafu ukawa na nidhamu ya kujiwekea akiba hata kama ni kidogo kidogo, huku pia ukiwa na nidhamu katika matumizi yako, utajiweka katika nafasi nzuri [sana] kiuchumi.

Kuna mtu namjua anafanya kazi kwenye hizi payday loans places.

Huwa ananiambia kuwa baadhi ya watu ambao huenda kuchukua hizo payday loans, huwezi kuamini kazi zao!

Kuna mawakili, wahasibu, manesi, n.k., watu ambao kazi zao kwa wastani, ni za vipato vya juu.

Cha msingi zaidi, ni jinsi unavyozi manage hela zako kuliko kiasi ambacho unakipata.
Ninao na ninawajua wa hali kama hiyo na kila wakati unaona wana shida ya hela kwa lawama zao ila ndinga wanazopeleka ni mashindano na kujionyesha
Gari yangu ni 10 years old sio mbaya ni Germany lakini wao ni latest na wa chini ni 3 years old SUV
Ila wanalalamika balaa mimi nawa zoom tu maana kuna wakati unaona kabisa kabanwa
Savings muhimu sana na ukiweza hili basi
 
Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Unaumizwa na ujinga! Tosheka na unachopata! Mimi nimeridhika na 4.5m yangu maana kuna watu niliwaacha Halmashauri bado hawajafikisha 6 digits na degree zao!
 
Kulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.

Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.

Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.

Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie 🤣🤣🤣
Economic perspective, na ndo ukweli!
Mtu alikuwa analipia kisimbusi kifurushi cha Family TZS 9,999 ghafla mshahara umeongezwa kwa kiasi kidogo nae ana shift kwenda kifurushi cha Premium TZS 199,999, na hii ni kwa item moja kwa mwezi mmoja bado zipo nyingi katika miezi 12 ya mwaka etc....its obvious mtu wa namna hii Malalamiko ya nyongeza ya mshahara haiwezi kukoma.
 
Mkuu,

Haya mambo mimi nishayaona kwa watu wa karibu hivyo naandika kutokana na uzoefu.

Kuna kipindi bosi wangu mmoja alipiga mingo ya nguvu, akala bata ile ya kimataifa, ila akawa hana savings. Madeni kibao, kila siku akawa analalamika anataka kumaliza madeni.

Halafu kipindi kingine akapata mingo nzuri lakini si kubwa kama ile ya kwanza, akaweza kuondoka kwenye madeni, kufanya savings na investments kubwa tu.
Mwaka 2019 nilikuwa taasisi fulani nilikuwa mgeni ...Kuna jamaa alikuwa principal wetu pale alikuwa mtu poa sana na haraka haraka alikuwa anakuja kama mil 5.4 na posho za cheo.

Ila jamaa anaweza kukukopa laki 1 mara laki 2 na pia anabet😅...Nyuma ya pazia huyu jamaa yupo 40 age na kitu enzi hizo..

Ana watoto kama watano kila mmoja na mama ake na wanasoma shule za kishua...Jamaa matumizi yake ni makubwa sana ,suala la kukopa ni kawaida tena anakopa subordinates wale na hana aibu .

Na kuna kipind fulani alikuwa na kesi ya mkewe wa mwisho juu ya kugawana mali , mitihani tupu ila ni mtu poa sana hususani katika kuongoza watu .
 
Back
Top Bottom